Anguko la Millard Ayo liko karibu sana

Anguko la Millard Ayo liko karibu sana

Kama kuna ushauri, maoni, ujumbe mpatieni ili ajue namna atakavyofanya kuendana na followers wake
 
Binafsi nilikuwa mpenzi mno wa hii blog, lakini toka mwaka Jana mwanzoni mpenzi yangu yalitoweka kabisa
Kunasababu kadhaa zilizopelekea kuichukia hii blog ambazo ni Pamoja na

Habari zake Karibu zote amekuwa akiweka video badala ya Kuandika hali inayopelekea bundle kuisha Jataka sana

Pia Millard Ayo licha ya kutuwekea Video katika almost Kila habari anayoposti robo ya hiyo Habari unakuta na video ya Tangazo la biashara ambalo ni video pia

Achila mbali hilo hata Habari anazopost nyingi ni za bunuasi yaani kufikirika kwa maisha ya mtanzania wa kawaida hazina msaada mathalani NYUMBANI ghari duniani,Simu ya Gharama zaid na mengine mfano wa haya
"kamnda" mlipiga ramli chafu dhidi ya Diamond vikowapi?
 
" Acha wivu wewe "
[emoji23] [emoji1] [emoji119] [emoji119]
 
si rahisi kwa kila mfanya biashara amvutie kila mteja..

Pia Ayo ametoka mbali kufika hapa alipo so us not easy ajifanye nunda apost umange kimambi ni sawa kuchezea shilingi chooni..

JPM anakaa miaka 10 anapita hivi Ayo media ni maisha yake yote hawezi kukubali kuyaharibu kirahisi kwa siasa za kiduanzi..mjasiriamali anaendana na mdundo wa soko..

unapenda vya bure mkuu..bila matangazo atapata wapi mkwanja wa kuendesha life na blog yenyewe??

mambo binafsi si vyema kuyaingiza kwenye mambo ya umma...kama huna unlimited bundle usifikiri kila mtu hana so ni vyema ukapambana na hali yako.

Jambo jema kwenye blog kwa chini kuna kisehemu cha maoni mwambie maoni yako ....kila mtu asiyetaka amwambie atajirekebisha ila fikiria au tafiti kuhusu hizi business media sio kama kuuza mandazi....

also unaweza kwenda Other blogs sio lazima yeye
 
Asbh kumekucha mto pawaga umejaa maji na samaki ni wa kumwaga, ulanzi unagemwa kwa wingi, wengine wameenda kuwinda digidigi, kanga, sungura nk(huu utakuwa mlo wa mchana)..Njooni pawaga jaman

>>ukiwa masikini kama mimi unadhauliwa hadi na watoto na ukiwa na uwezo utachukiwa kila kona....

Huyu kijana anapigwa vita sana na hii yote ni kutokana na mafanikio aliyopata nadhani.

NB: Njoo pawaga upate nyenzo ya kujikwamua na umasikini, hao wenye uwezo hata wakifilisika wewe bado utabaki na umasikini wako

Usituharibie mkoa wetu
 
unai
Usituharibie mkoa wetu
unaitwa msigwa(nahisi ndio jina la ukoo) alafu unasema mkoa wenu?wew ni mkimbizi tuu ndani mji wa mawe na milima.....muulize mzee wako akina Mnogelichuma ni akina nan wilaya ya iringa vijijini ukianzia Mgera/luganga,kiwele,mfyome,kilendu,village 4 nk
 
Kitu pekee cha kijinga NIMEWAHI KUSIKIA kuhusu huyu dogo ni nyodo zake na wafanyakazi wake pale watu wanapomtafuta kwa ajili ya kuweka matangazo yao kwenye blog yake.
 
Mtaji mkubwa wa hawa kina Ayo na Bloggers wengi Uchwara wa hapa Bongo ni uwepo wa wajinga wengi..
 
Kuna wakati aliyekuwa rais wa TZ Mh.Benjamin Mkapa aliwahi kusema watz tuna wivu wa kijinga. Niliichukia kauli hii lakini Leo naona alikuwa sawa tu. Millard kajitahidi sana na inspire vijana wetu wengi kujua fursa nyingi za kiuchumi zinazoweza kupatikana kupitia mtandao. Na kwa kukusaidia kula biashara inapokua inakuwa na mabadiliko.were mshauri tu kwa sababu unadai ulikuwa unapenda sana blg take,usimtabirie anguko!!!
 
Mkuu ukiona hivyo jua wewe ndio tatizo sababu umeshakuwa mtu mzima alafu unaangaika na wakina Milard Ayo.

Yaani unategemea kumkuta Milard akiongelea gharama za maisha kupanda? (Haha) vijana wa vyuo na sekondari hawayataki ayo na ndio fans wake

Cha msingi anza kutembelea site za mambo ya watu wenye upeo mkubwa na wanaowaza hayo unayoyapendelea mkuu.

Kwani wewe huoni utofauti wa Clouds na ITV?, au BBC na BET? mkuu tatizo si Ayo tatizo ni wewe tu!
 
Back
Top Bottom