Anguko ni lako wewe usio na bundle... Ulitaka yeye akununulie kifurushi? Pambana na umaskini wako na uache wivuBinafsi nilikuwa mpenzi mno wa hii blog, lakini toka mwaka Jana mwanzoni mpenzi yangu yalitoweka kabisa.
Kuna sababu kadhaa zilizopelekea kuichukia hii blog ambazo ni Pamoja na:
Habari zake Karibu zote amekuwa akiweka video badala ya kuandika hali inayopelekea bundle kuisha haraka sana
Pia Millard Ayo licha ya kutuwekea Video katika almost Kila habari anayoposti, robo ya hiyo Habari unakuta na video ya Tangazo la biashara ambalo ni video pia
Achilia mbali hilo hata Habari anazopost nyingi ni za Abunuasi yaani kufikirika kwa maisha ya mtanzania wa kawaida hazina msaada mathalani NYUMBANI ghari duniani - Simu ya Gharama zaidi na mengine mfano wa haya
Tamaaa inaenda mponza dogoAanguke Tu Hakuna Namna
Waliomzawadia ni kina nani? Na je huko alikopata viewers wengi kwani hakuna wajinga pia? Umefanya research hao wanaofuatilia blog yake ni watu wa aina gani? Binafsi sifuatilii hiyo blog uchwara sababu 99% ya habari zake ni hovyo na copy and paste!Niliwahi kusoma mahali Millard huyu alizawadiwa kimataifa kwa SBB alikuwa na viewers wengi internationally,nilishangaa mpaka Iran alikuwa nao wengi tu.sasa nashindwa kuelewa mjinga in yupi!!!
Hahahahha bhe mkwamisi, uli mdesi swella. Uveve mnyalukolo ve lidugulu lya whi?unai
unaitwa msigwa(nahisi ndio jina la ukoo) alafu unasema mkoa wenu?wew ni mkimbizi tuu ndani mji wa mawe na milima.....muulize mzee wako akina Mnogelichuma ni akina nan wilaya ya iringa vijijini ukianzia Mgera/luganga,kiwele,mfyome,kilendu,village 4 nk
hehehe....Atafute sehemu nzuri ya kuangukia asije angukia mgongo akaharibu kiuno cha kazi.