ambiya iyo boya..acha kuogopa watu sababu tu imetokea wamekuzwa unnecessary....huyo ruge ni muajiriwa tu hapo clouds kama wewe kwa mhindi, angekuwa that level angesimamisha cha kwake.
The return of the front benchertutaona mengi mwaka huu
Hahaha nimestaafu nilikuwa natest mitambo tuThe return of the front bencher
We jamaa una akili sana yaan ni kwel kbsa tena naskia hako kaTV na radio vina mkono wa KusagaRuge is just another level penda usipenda jamaa ni habari nyingine hakuna vita hapa ni promo tu za hako ka TV kapya
acha kuogopa watu sababu tu imetokea wamekuzwa unnecessary....huyo ruge ni muajiriwa tu hapo clouds kama wewe kwa mhindi, angekuwa that level angesimamisha cha kwake.
KAAJIRIWA BANA,BASI TU KANGUVU NA AUTHORITY KUBWA ALOPEWA.by the way boss kusaga na ndiye mtafuta mkwanja wa juu wa hadhi,RUGE ye kazi kunyonya wasanii ndo ajikute mafanikio???? Tena mnaita kufanikiwa baada ya watu kunyonywa!!!shame on you, huo ni upuuzi na mtu kama huyo anapaswa kuambiwa FEDHA ZAKO ZINANUKAjidanganye... kwa jinsi msivympenda Ruge na hata kusaga mwenyewe anamuogopa ruge...
Ruge ni partner wa clouds fm... na ndie sababu ya mafanikio ya clouds... muulize kusaga kama ana mfanyakazi amemuajiri anaitwa Ruge?
Hili ni tatizo, ukiangalia content zake zenye views nyingi ni Zimuhusuzo Diamond, Milupo ya Diamond na HarmonizeMaskini alikua anaingiza hela sana show na matukio ya diamond,unakuta mpaka view laki5 na kitu,sa hivi hata elfu2 anapumulia Mashine
Mkuu ulipotea wapi [emoji23] [emoji23]tutaona mengi mwaka huu
nipo aseeh..hapahapa TZMkuu ulipotea wapi [emoji23] [emoji23]
Wadau walimiliki nafasi yako