Anguko la Millard Ayo liko karibu sana

Anguko la Millard Ayo liko karibu sana

Muacheni na website yake hasije kufa njaa,ila kesho utashangaa akilalamika uhuru wa habari unaminywa na serikali,kumbe hajui hata bosi wake anaminya uhuru wake wakuposti kitu chochote kile.Ila amtizame mwenzake Sam Misago,yy anarusha matukio yote ya WCB.
 
Aliekwambia kuwa ni media yake binafsi nani.unajuaje huenda hao clouds wanahisa/influence kubwa kwenye hyo media entity ya millard ayo
 
Maskini alikua anaingiza hela sana show na matukio ya diamond,unakuta mpaka view laki5 na kitu,sa hivi hata elfu2 anapumulia Mashine
 
KWA KWELI MILARD AYO NI WA KUOKOLEWA TUSIMPOTEZE KABISA DAAH KAFUNGWA SPEED GOVERNOR
 
Uaneni wenyewe(clouds vs wcb) ili adui yetu abaki mmoja sisi wananchi maana yote n maccm
 
Ruge is just another level penda usipenda jamaa ni habari nyingine hakuna vita hapa ni promo tu za hako ka TV kapya
We jamaa una akili sana yaan ni kwel kbsa tena naskia hako kaTV na radio vina mkono wa Kusaga
 
acha kuogopa watu sababu tu imetokea wamekuzwa unnecessary....huyo ruge ni muajiriwa tu hapo clouds kama wewe kwa mhindi, angekuwa that level angesimamisha cha kwake.

jidanganye... kwa jinsi msivympenda Ruge na hata kusaga mwenyewe anamuogopa ruge...

Ruge ni partner wa clouds fm... na ndie sababu ya mafanikio ya clouds... muulize kusaga kama ana mfanyakazi amemuajiri anaitwa Ruge?
 
KAAJIRIWA BANA,BASI TU KANGUVU NA AUTHORITY KUBWA ALOPEWA.by the way boss kusaga na ndiye mtafuta mkwanja wa juu wa hadhi,RUGE ye kazi kunyonya wasanii ndo ajikute mafanikio???? Tena mnaita kufanikiwa baada ya watu kunyonywa!!!shame on you, huo ni upuuzi na mtu kama huyo anapaswa kuambiwa FEDHA ZAKO ZINANUKA
 
Maskini alikua anaingiza hela sana show na matukio ya diamond,unakuta mpaka view laki5 na kitu,sa hivi hata elfu2 anapumulia Mashine
Hili ni tatizo, ukiangalia content zake zenye views nyingi ni Zimuhusuzo Diamond, Milupo ya Diamond na Harmonize
 
Back
Top Bottom