Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #81
jaribu ukishindwa tutaongezea nyamaWamenijibu lkn sijui nikuelewesheje
Ha Haaaa lol usitufanyie hivyoooMarahaba Raven.
Teh najua umaarufu wenu na mamdogo unatokana na nini.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mmepishana kidogo nawe kwa hiyo shikamoo Nyani Ngabu hataiona tena
Tatizo ni moja tu Mh Trump Raisi wa marekani afa ye usahii wa makaratasi mungu naapia dr sla na huyu ndungu mtajwa kwenye mada tutajumuika nao katika kuisoma numberHahahaaaa
The fact that umenianzishia thread ni ushahidi tosha kwamba umeniwaza.
Na kama umeniwaza basi bado niko relevant.
Thank you for being a dedicated card-carrying member of my fan club!
Happy weekend.
Niambukize na mimi nilipende basi
Sijawahi kununua status hapa JF.
MmmmhWamenijibu lkn sijui nikuelewesheje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku trump akifanya usahii wewe lazima utaisoma number tu mara mbili ya huko
Swissme
Kumfikia kwa kipi? Likes au unazungumzia kitu gani?Akichanganya posts za ID yake nyingine hakuna wa kumfikia
Pia ana uzi wake huo mahsusi kwa lugha ya kiingereza tu.Rutashubanyuma yuko vzr kwenye updates za mpira...
Sakayo mambo?Wakikujibu uje unieleweshe na mie mdogo wangu
Yupo mwingine huyo aliyempiku ngabu pale juu Rutashubanyuma ana Uzi wake huwa an a comment mwenyew tu![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii ndio sifa pekee iliyokuwa inamtambulisha ndugu Ngabu ila inaenda kupotea taratibu maana kuna wengine kama Paulo Sergio nani sijui nae anatema kikristo kama hana akili nzuri.
Lipende tu hakuna namna kule ni stress free[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Niambukize na mimi nilipende basi
SafiSakayo mambo?
Kumbe Nyani Ngabu ni 27? Mi nilidhanigi ni mzee mmoja zaidi ya miaka 50 huko
Mzushi tu huyo.Umri wake ni 35+.Hawezi kutuambia alijiunga na jamii forums by then jambo forums akiwa na 16 .Naikumbuka vizuri jambo forums ,haikuwa na mambo ya kitoto kama hivi sasa.Hakuna mtoto aliyejiunga na Jambo forums wakati huo.Nilikuwa member wa jambo forums baadae nikaja na ID mpya ikiwa jamii forums hivyo naifahamu vizuri aache uzushi,anakaribia umri wa makamo huyo jamaa.Kumbe Nyani Ngabu ni 27? Mi nilidhanigi ni mzee mmoja zaidi ya miaka 50 huko