Anguko la Nyani Ngabu

Anguko la Nyani Ngabu

Hahahaaaa

The fact that umenianzishia thread ni ushahidi tosha kwamba umeniwaza.

Na kama umeniwaza basi bado niko relevant.

Thank you for being a dedicated card-carrying member of my fan club!

Happy weekend.
Tatizo ni moja tu Mh Trump Raisi wa marekani afa ye usahii wa makaratasi mungu naapia dr sla na huyu ndungu mtajwa kwenye mada tutajumuika nao katika kuisoma number



Swissme
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii ndio sifa pekee iliyokuwa inamtambulisha ndugu Ngabu ila inaenda kupotea taratibu maana kuna wengine kama Paulo Sergio nani sijui nae anatema kikristo kama hana akili nzuri.
Yupo mwingine huyo aliyempiku ngabu pale juu Rutashubanyuma ana Uzi wake huwa an a comment mwenyew tu!
Ukicomment kwa kiswahili unaambiwa English only!
Unakichwa kinaitwa" Why magufuli administration misses some point of......."
Nilimuogopa sana baada ya kusoma ule uzi
 
Kumbe Nyani Ngabu ni 27? Mi nilidhanigi ni mzee mmoja zaidi ya miaka 50 huko
Mzushi tu huyo.Umri wake ni 35+.Hawezi kutuambia alijiunga na jamii forums by then jambo forums akiwa na 16 .Naikumbuka vizuri jambo forums ,haikuwa na mambo ya kitoto kama hivi sasa.Hakuna mtoto aliyejiunga na Jambo forums wakati huo.Nilikuwa member wa jambo forums baadae nikaja na ID mpya ikiwa jamii forums hivyo naifahamu vizuri aache uzushi,anakaribia umri wa makamo huyo jamaa.
 
Back
Top Bottom