Reina princess
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 1,322
- 1,502
Hakyanani...[emoji23]Duh...mshafika ukurasa wa 6?
And somebody has the gall to talk about my downfall?
What downfall....? Hahaaaa
But thank you so much guys.
I really appreciate you all for being my fans for all these years.
Y'all mean the world to me. Y'all are my extended family.
USA baby.....
You have talked, we were all ears. HahahahaTatizo ni moja tu Mh Trump Raisi wa marekani afa ye usahii wa makaratasi mungu naapia dr sla na huyu ndungu mtajwa kwenye mada tutajumuika nao katika kuisoma number
Swissme
Hey...what else can I say?Hakyanani...[emoji23]
Mchizi, usiamini kila kitu anachosema nyani. Utapotea.Mzushi tu huyo.Umri wake ni 35+.Hawezi kutuambia alijiunga na jamii forums by then jambo forums akiwa na 16 .Naikumbuka vizuri jambo forums ,haikuwa na mambo ya kitoto kama hivi sasa.Hakuna mtoto aliyejiunga na Jambo forums wakati huo.Nilikuwa member wa jambo forums baadae nikaja na ID mpya ikiwa jamii forums hivyo naifahamu vizuri aache uzushi,anakaribia umri wa makamo huyo jamaa.
Nilipewa taarifa, nikajua uongo, kumbe kweli brother. Ahhh. Huyo ndiye great thinker wa JF.Tatzo siku hizii mkuu umeegea sana kule kwa nancy wa raha tup.....naoana una ma video kbsa kule
HahahahaNaujua ule uzi
Hence, Nyani atalazwa. Huruma inahitajika. HahahahaNina uhakika ID yako ingekuwa ya miaka ya hivi karibuni hakuna mtu ambaye angekuwa anakujua [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkuu we ni Mme au Ke. Mbona unaguna Kha!kumbe una battle nae!
khaa!! sasa si ungesema mkuu hance tujue
Eboo! sasa kwenye khaa hapo kuna jinsia ya mtu au?Mkuu we ni Mme au Ke. Mbona unaguna Kha!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hence, Nyani atalazwa. Huruma inahitajika. Hahahaha
[emoji23][emoji23][emoji39][emoji23]Jamaa ni vampire toka ikungulyabashashi[emoji1]
Nyani Ngabu tokea atekwe na akina Mamvi, na kundi lake, amepoteza kabisa uelekeo, binafsi miaka ya 2010 nilikuwa namuhusudu na kumkubali, ila kwa sasa ni pumba tupu, na niseme ukweli alini empress kuwa na ID humu Wakati huo nilikuwa kama guest tu.Kwa miaka kadhaa ndugu Nyani Ngabu au( a boy from USA [emoji631] ) kama anavyojiita mwenyewe amekuwa ni mtu maarufu humu jukwaani haswa kwa mbwembwe zake za kuongea kiingereza cha ndani zaidi kiasi kwamba kama kiingereza chako ni cha kuunga unga huwezi kumuelewa kamwe vitu anavyoviandika .
Kwa miaka hiyo kama mtu ukizungumzia kuhusu JF ilikuwa si rahisi kutomjua huyu mtu ila kadri siku zinavyozidi kwenda umaarufu wake unazidi kufifia kama moto wa nyasi .
Ngabu alikuwa anaongoza kwa messages nyingi humu jukwaani lakini kwa sasa ameshapinduliwa tayali na ameachwa mbali sana View attachment 511524
Pia kwa upande wa likes ameachwa mbali saaana ,kwenye upande wa likes yeye ni mtu wa 18 na muda sio mrefu atatupwa kwenye wale watu 20 wanaoongoza kwa kuwa na likes nyingi
Namba moja inashikiliwa na Bitoz akifuatiwa na Jimenna ,Shunie ,Mussolin5 na Quigley
View attachment 511525
View attachment 511528
Ni kazi kubwa sana waliyofanya hawa makapuku kufagia fagia kwa kweli ,maana ukiangalia wana messages chache ila likes nyingi sana
Bila shaka baada ya miezi kama sita mpaka miaka miwili na nusu umaarufu wa Ngabu utakuwa ni wakaida sana kama 10% tu basi hasa kwa wale wageni ndio hawatamjua kabisaa .
Bye bye Nyani Ngabu wakati wako umeshaisha tayali.
Masterplan out of mastermind is a biting tongue bro,kucheleHey...what else can I say?
I'm da man wit da masterplan...
Mfa maji hakosi kujitapaHey...what else can I say?
I'm da man wit da masterplan...
Yule ana miaka mingi tu si 35 tu anaelekea kuumaliza ujana,hawa ni watu walioanzisha Jambo Forums enzi hizo na hiyo ya kupewa Platnam ni kwa sababu amekuwa member active toka zamani,hongera yake Nyani Ngabu toka IkungulyabashashiMzushi tu huyo.Umri wake ni 35+.Hawezi kutuambia alijiunga na jamii forums by then jambo forums akiwa na 16 .Naikumbuka vizuri jambo forums ,haikuwa na mambo ya kitoto kama hivi sasa.Hakuna mtoto aliyejiunga na Jambo forums wakati huo.Nilikuwa member wa jambo forums baadae nikaja na ID mpya ikiwa jamii forums hivyo naifahamu vizuri aache uzushi,anakaribia umri wa makamo huyo jamaa.