Anguko la Nyani Ngabu

Anguko la Nyani Ngabu

Duh...mshafika ukurasa wa 6?

And somebody has the gall to talk about my downfall?

What downfall....? Hahaaaa

But thank you so much guys.

I really appreciate you all for being my fans for all these years.

Y'all mean the world to me. Y'all are my extended family.

USA baby.....
Hakyanani...[emoji23]
 
Mzushi tu huyo.Umri wake ni 35+.Hawezi kutuambia alijiunga na jamii forums by then jambo forums akiwa na 16 .Naikumbuka vizuri jambo forums ,haikuwa na mambo ya kitoto kama hivi sasa.Hakuna mtoto aliyejiunga na Jambo forums wakati huo.Nilikuwa member wa jambo forums baadae nikaja na ID mpya ikiwa jamii forums hivyo naifahamu vizuri aache uzushi,anakaribia umri wa makamo huyo jamaa.
Mchizi, usiamini kila kitu anachosema nyani. Utapotea.
 
Kwa miaka kadhaa ndugu Nyani Ngabu au( a boy from USA [emoji631] ) kama anavyojiita mwenyewe amekuwa ni mtu maarufu humu jukwaani haswa kwa mbwembwe zake za kuongea kiingereza cha ndani zaidi kiasi kwamba kama kiingereza chako ni cha kuunga unga huwezi kumuelewa kamwe vitu anavyoviandika .

Kwa miaka hiyo kama mtu ukizungumzia kuhusu JF ilikuwa si rahisi kutomjua huyu mtu ila kadri siku zinavyozidi kwenda umaarufu wake unazidi kufifia kama moto wa nyasi .

Ngabu alikuwa anaongoza kwa messages nyingi humu jukwaani lakini kwa sasa ameshapinduliwa tayali na ameachwa mbali sana View attachment 511524

Pia kwa upande wa likes ameachwa mbali saaana ,kwenye upande wa likes yeye ni mtu wa 18 na muda sio mrefu atatupwa kwenye wale watu 20 wanaoongoza kwa kuwa na likes nyingi

Namba moja inashikiliwa na Bitoz akifuatiwa na Jimenna ,Shunie ,Mussolin5 na Quigley


View attachment 511525

View attachment 511528

Ni kazi kubwa sana waliyofanya hawa makapuku kufagia fagia kwa kweli ,maana ukiangalia wana messages chache ila likes nyingi sana


Bila shaka baada ya miezi kama sita mpaka miaka miwili na nusu umaarufu wa Ngabu utakuwa ni wakaida sana kama 10% tu basi hasa kwa wale wageni ndio hawatamjua kabisaa .

Bye bye Nyani Ngabu wakati wako umeshaisha tayali.
Nyani Ngabu tokea atekwe na akina Mamvi, na kundi lake, amepoteza kabisa uelekeo, binafsi miaka ya 2010 nilikuwa namuhusudu na kumkubali, ila kwa sasa ni pumba tupu, na niseme ukweli alini empress kuwa na ID humu Wakati huo nilikuwa kama guest tu.
 
c1f652ed575f97b7069d827783bb248b.jpg
 
Mzushi tu huyo.Umri wake ni 35+.Hawezi kutuambia alijiunga na jamii forums by then jambo forums akiwa na 16 .Naikumbuka vizuri jambo forums ,haikuwa na mambo ya kitoto kama hivi sasa.Hakuna mtoto aliyejiunga na Jambo forums wakati huo.Nilikuwa member wa jambo forums baadae nikaja na ID mpya ikiwa jamii forums hivyo naifahamu vizuri aache uzushi,anakaribia umri wa makamo huyo jamaa.
Yule ana miaka mingi tu si 35 tu anaelekea kuumaliza ujana,hawa ni watu walioanzisha Jambo Forums enzi hizo na hiyo ya kupewa Platnam ni kwa sababu amekuwa member active toka zamani,hongera yake Nyani Ngabu toka Ikungulyabashashi
 
Back
Top Bottom