Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,426
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia kwenye browser halafu ingia kwenye upande wa members kisha ingia kwenye upande wa likesKujua idadi ya like zako unaangalia wapi???
Mmepishana kidogo nawe kwa hiyo shikamoo Nyani Ngabu hataiona tenaKumbe Nyani Ngabu ni 27? Mi nilidhanigi ni mzee mmoja zaidi ya miaka 50 huko
HeheheeHaha..hivi shem kwa hiyo ndiyo umeamua kunitania eeh!
Kwa unanipa feki kunipim kama nitajishaua siyo. Wacha nikuombee ban kwa mod
Wakikujibu uje unieleweshe na mie mdogo wanguKujua idadi ya like zako unaangalia wapi???
[emoji16][emoji16] wewe utakuwa umegusa balimi. Na leo tena weekend.Hehehee
Niko serious ujue.. Nanii asiyemjua shem wangu Daby.., uzuri huna uchawi wala ingilishi lakini wakimbiza mbaya..
Acha hizo mambo za ban bhana
Poa poa karibu sanaOkay nishajuaa
siamini, tudai cheti au card ya klinikiKumbe Nyani Ngabu ni 27? Mi nilidhanigi ni mzee mmoja zaidi ya miaka 50 huko
Poa Poa[emoji16][emoji16] wewe utakuwa umegusa balimi. Na leo tena weekend.
Tutakutana kule bwana [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmepishana kidogo nawe kwa hiyo shikamoo Nyani Ngabu hataiona tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Namba inasomwa kote kote ... Acha tumsahau huyu mkimbizi wa kitanganyika alieko huko kwa Trump
Haya bhana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weka na taarifa ya Mzee mchakavu Mwanakijiji sababu kachuja sana.................. Na anavyomuona Magu kuwa Mungu basi umaarufu wake kwisha kabisaaaaaa.........
Hebu gongeni likes kama elfu hivi hapa.......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111][emoji111]
zama zake zimeshaisha tayali.Ila atatrend sana, namtabiria mshana Jr kufanya mapinduzi makubwa.
Duh, hawa ni kwa ajili ya kuandika mavi.Nadhani kama mwaka huu haujaisha swissme , Mmawia na assadsyria3 watakuwa top 3
- Nadhani kama wewe ni mwanaJF unajua sababu
Ha ha hasiamini, tudai cheti au card ya kliniki
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Duh, hawa ni kwa ajili ya kuandika mavi.
Wamenijibu lkn sijui nikueleweshejeWakikujibu uje unieleweshe na mie mdogo wangu