Hakaonekani hata kujutia Wala kuwa na Soni hata kidogoWatu hawadanganyiki kizembe tena.
Yale mambo ya kupigwa makofi halafu kupewa peremende kama watoto wadogo sasa yamekwisha.
UZI TAYARI.
Sura imemshuka kwa stress lakini bado hataki kukiri makosa.Hakaonekani hata kujutia Wala kuwa na Soni hata kidogo
The whole system is not legitWatu hawadanganyiki kizembe tena.
Yale mambo ya kupigwa makofi halafu kupewa peremende kama watoto wadogo sasa yamekwisha.
UZI TAYARI.
Anaonekana kuwa mchovu na mwenye msongo wa mawazo lakini bado anakaza Kama hakijatokea kitu.Sura imemshuka kwa stress lakini bado hataki kukiri makosa.
Na afanye kama kupitia hii mitandao baada ya hotuba yake, ndio atajua hasa extent ya chuki ya watu dhidi yake.
People have called her bluff.
katiba mbovu. Inampa uhakika hata akinya ofisini, hakuna wa kumgusa. Tatizo lipo hapo katika katiba yetuHakaonekani hata kujutia Wala kuwa na Soni hata kidogo