Anguko la Simba lipo jirani

Leo mayanga njaa mwenzenu kawa wa maana coz tumemtimua baada ya kumshtukia?..ilifika hatua mlimkashifu hadi juunya ulemavu wake wa ngozi leo kawa mzuri?..timu ianguke coz ya MSEMAJI?..narrow mind I can't argue.
Mmoja kajitokeza hapa tayari, tujadili hoja achana na personalities
 
Mara nyingi Maskini aliye na elimu ya ngumbaru, anajisikia vizuri kumsengenya Tajiri mwenye elimu ya kutosha.
Timu ya Simba inahitaji Uwekezaji wenye Weledi.

Wanachama wa Simba pamoja na Serikali wameridhia bila shaka Tajiri MO kuwekeza Simba.
Baada ya Uwekezaji kwa muda mfupi tu Matunda umeanza kuonekana.
Simba wanaume iko juu kwa viwango vya Soka Afrika.
Simba Qeen nayo ni Bingwa asiye na mshindani hapa Nchini.

Hayo ndiyo Wanachama wa Simba walitaka kuyafikia.
Kama kuna kasoro zozote, Wanachama wataamua katika vikao vyao halari.
Maamuzi ya Uwekezaji hayakudhibitishwa na wafuasi wa Facebook, wala Jamiiforum.

Simba unahitaji Mitaji ya Uwekezaji na sio Mipasho ya Wadakuzi wa Mijini.
Walikuwa wapi miaka yote hii, miaka ambayo Simba ilishindwa kuchukua japo ubingwa wa Nchini Tanzania kwa Miaka Minne mfululizo.

Leo tumeanza kuyafikia Malengo yetu kwa kupata Mtaji.
Na tutaulinda na kuuthamini Mtaji wetu.
 
Hatimaye yametimia! Hongera sana mtoa mada kwa utabiri wako mzuri. Ukiona timu inakosa penati yenye utata dk za nyongeza, basi ujue huu msimu utakua mgumu sana.
 
Hatimaye yametimia! Hongera sana mtoa mada kwa utabiri wako mzuri. Ukiona timu inakosa penati yenye utata dk za nyongeza, basi ujue huu msimu utakua mgumu sana.
Ile penati ilikua ya utata kumbe
 
Kwa sisi wana Simba, hata utuite sasa hivi baada ya kutolewa na Galaxy na utuulize kama tunahitaji uwekezaji wa MO, wote tutapiga kura za "ndiyo"!
 
Kuna watu humu wanatabiri nzuri sana Ila kabla hayajatokea huwa tunawadharau
 
Malipo nihapa hapa, yaliyo wakuta leo simba ni karma ya mlio wafanyia biashara ya musoma, mlifikiri mna mkomoa hapi ehee
 
Huu ni utabiri ambao bila Shaka unaonekana kutimia.
Simba ilifikia hata kugombea nafasi isishuke daraja.
Sasa kwa Simba hii inayogombea ubingwa,

Hilo anguko lipo wapi?

Hizo ni ramli tu zinazopigwa na moshi wa bangi.
Hakuna ukwl wowote.
 
Simba ilifikia hata kugombea nafasi isishuke daraja.
Sasa kwa Simba hii inayogombea ubingwa,

Hilo anguko lipo wapi?

Hizo ni ramli tu zinazopigwa na moshi wa bangi.
Hakuna ukwl wowote.
Simba imefikia hatua ya kualikwa mechi ya kirafiki na timu ya Manyoni Secondary School, ujue ndo dalili zenyewe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…