mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Africa bwana sijuwi Nani katuroga?Simba imefikia hatua ya kualikwa mechi ya kirafiki na timu ya Manyoni Secondary School, ujue ndo dalili zenyewe.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
.hivi hujawahi kuona hata real Madrid au Manchester United zinakwenda hospital kutembelea wagonjwa?.
Au zinakwenda mashuleni?
Hiyo yote ni ktk kujiweka karibu na jamii mkuu.
Simba still ni dude kubwa sn,kulinganisha na utopolo .