MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Na mtu kama wewe Ndiyo unategemewa Na Upinzani Uchwara na Akili kama hiziKweli yani hapo ndipo wapinzani waliposhindwa kwendana nasisi wananchi tuliowatuma Bungeni. Unakuta sisi wananchi tuna shida na mradi wa maji lakini mbunge anafuata itikadi ya chama chake kwa kukataa na kupinga kila kitu bila kujiuliza wananchi walionituma Bungeni wanashida zipi nizipeleke kunakohusika zipate utatuzi. Kweli hapa wenzetu walijisahau. Wakirudi baada ya miaka 5 wabadirishe mfumo wa kuendesha upinzani. Sio lazima wasifie tu bali kizuri wakikubali na penye mapungufu watusemee daima tutaona wanatuakirisha vyema Bungeni.
Kupinga kila kitu ni lazima kwa sababu hakuna kitu kizuri kunafanywa na CCM vyote ni vya hovyo na kama ni miradi imejaa ufisadi mkubwa CCM ni ile ile ukoo wa panya hawana cha maana wanakifanya kikakosa kasoro ndiyo maana wapinzani huwapinga mda wote
Bado sana Kuiongoza nchi hii
Mmejawa chuki ujinga na Ulimbukeni
Poleni sana