Uchaguzi 2020 Anguko la Upinzani Tanzania. Tuanze upya

Na mtu kama wewe Ndiyo unategemewa Na Upinzani Uchwara na Akili kama hizi
Bado sana Kuiongoza nchi hii
Mmejawa chuki ujinga na Ulimbukeni
Poleni sana
 
Tanzania hakuna uchaguzi umefanyika kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani hiyo mifano yako ya mwenyekiti Mbona hamukuacha wananchi waamue wenyewe? Kwa nini muibe kura?
 
Magufuli ameshaongea na kuahidi mara nyingi kwamba muda wake ukiisha wa kukaa madarakani kwa mujibu wa sheria hatozidisha hata dk 5, ataondoka na katika kulionyesha hili kwa mfano wafuatilie wafuatao:
Juma Mkamia alianzisha hoja ya Magufuli kuongezewa muda madarakani, nadhani unajua aliko.
Ally Kessy aliikoleza hoja ya Magufuli kuongezewa muda wa kukaa madarakani, nadhani unajua aliko
Kangi Lugola akamfananisha Magufuli na yesu, nadhani unajua aliko.
Hoja ya Magufuli kung'ang'ania madarakani nadhani mnaikuza na kuishikilia kwa kuwa hamna hoja tena zenye mashiko mnazoweza kuja nazo kumpinga so nikuja na uzushi. Bado mnashangaa kwa nini wananchi wamewakataa? Basi hamjifunzi
 

Maendeleo hayana chama
 
Na mtu kama wewe Ndiyo unategemewa Na Upinzani Uchwara na Akili kama hizi
Bado sana Kuiongoza nchi hii
Mmejawa chuki ujinga na Ulimbukeni
Poleni sana
Wewe Mbona ni mbumbumbu juha zuzu kilaza mbweha kuwa mpishi wa polepole eti na wewe unajiona ni tegemezi la wenye Akili huko CCM na kama wewe ndiyo mwenye Akili huko CCM basi wanaokutuma watakuwa mazezeta balaa , CCM imevurugwa na washamba kama wewe ndiyo maana mipango ya hovyo haiishi huko CCM, acheni kuishi kwa kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu kaburu Mkoloni mweusi mpaka mnaenda kubaka uchaguzi na kuwa na Bunge la hovyo na la ajabu Duniani kwani kila kitu Bungeni kitakuwa ni ndiyooo ndiyoo hakuna hoja za maana zitajadiliwa huko
 
Tanzania hakuna uchaguzi umefanyika kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi kwa njia haramu za kishetani hiyo mifano yako ya mwenyekiti Mbona hamukuacha wananchi waamue wenyewe? Kwa nini muibe kura?
Hayo niyako
Ukweli upo pale pale
Wananchi wamewakataa mamluki na Wasaliti
Nendeni mkawalipe Mabwana wenu Shughuli imebuma
 
Utatukana Matusi yoote
Utaandika Gazeti reeefu
Lakini ukweli upo pale pale
watanzania wamekataa kuwapa Mamluki nchi
Na hilo tuliwaambia mapema huyo Shoga wenu hata pata hata 20%
Magufuli Ataondoka Muda ukifika 2025
Au mungu pekee aamue lakini Sio Wapuuzi kama nyie
 
Na mtu kama wewe Ndiyo unategemewa Na Upinzani Uchwara na Akili kama hizi
Bado sana Kuiongoza nchi hii
Mmejawa chuki ujinga na Ulimbukeni
Poleni sana
Upinzani ungekuwa ni uchwara mngekuwa kutwa kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi uonevu unyanyasaji usio na kikomo? Ulimbukeni unao wewe mwenye utindio wa Ubongo hujui kuwa mwenye chuki ni CCM kwani siku zote CCM ndiyo huihujumu na kuidhoofisha chadema , pole upewe wewe mbweha kwa kutojitambua
 
Acha kupotosha. CCM imeiba kura na ilipigisha kura tarehe 27/10/2020 chini ya ulinzi wa vyombo vyake vya dola. Upinzani hauna polisi wala jeshi unategemea nguvu ya umma kwenye sanduku la kura. Umma hauna bunduki wala mabomu ya machozi. Mfumo kandamizi wa CCM unaotawala kuanzia jeshi, tume ya uchaguzi utafanya lolote kushinda na kukaa madarakani kimabavu.Hoja ulizotoa hapo ni za mawazo mgando na za kipuuzi.
Mpaka sasa hivi wabunge waliokuwa vichwa na analytical walikuwa wanatoka upinzani. Wabunge wa upinzani walikuwa wanawafichia uch ila sasa hivi hivi mko wenyewe bungeni just wait and see mtakavyokuwa naked. Wenyewe mtajishtukia kwamba we made a great mistake some where and now we are in for it. Only time will judge this
 
Kila mstari Tusi
Yaani Ndio inavyo onyesha Ukilaza wako mpaka mgombea wenu
Aliahindwa kutoa Sera au muongozo wake lipi atafanya akawa kutwa ni Kitukana hovyo
Sasa Amevuna Alicho pata
 
Lete ushahidi wa hizo porojo zako. Kama huna ushahidi na unyamaze maana utakuwa unaongea utopolo. Hiyo nguvu inayoiwezesha ccm kutumia vyombovya dola vya watanzania wote inatoka kwa nani kama si udhaifu wa katiba yetu ya sasa? ACHA MIHEMUKO POZA AKILI UJIBU KWA HOJA!
 
Ukweli upi? Watanzania wa wapi unawasemea? Hakuna watanzania wenye Akili timamu wanaweza kuichagua CCM, wewe ndiyo shoga uliiba kura mapema ukaziweka kwenye viroba ndipo ukaja na 20% kinafiki, mungu pekee yupi? Mungu yupi unamsemea? Hakuna mungu ataukubali upuuzi wako na hao shetani wanaokutuma, laana za wapiga kura zipo mbioni hamfiki hata miezi mitatu uchaguzi huru na haki lazima ufanyike
 
Kila mstari Tusi
Yaani Ndio inavyo onyesha Ukilaza wako mpaka mgombea wenu
Aliahindwa kutoa Sera au muongozo wake lipi atafanya akawa kutwa ni Kitukana hovyo
Sasa Amevuna Alicho pata
Amevuna nini kapanda? Wananchi wamemchagua chadema vizuri lakini NECCCM Tumeccm Polisiccm na wakurugenziccm wamenajisi na kuubaka uchaguzi , sera muongozo na nani? NECCCM ni chombo binafsi cha CCM iweje kitoe muongozo kwa wapinzani?
 
Pemba unguja wapiga kura walioporwa haki zao za kuchagua wote wanawasomea Albadiri kubwa lazima mkae na ushetani lazima mtakoma kupora haki za wapiga kura
 
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetani kabsa
 
CCM bila Aibu bila kumuogopa mungu wanakaa wanajisifu eti wameshinda uchaguzi? CCM acheni kuwakebehi watanzania kwani wanajua CCM imefanya nini juu ya uchaguzi huu wa maigizo na vioja kuihadaa Dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…