Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Ni suala la muda tu, hali si shwari sana kwa mwenendo wa hii lebo!
Baada ya Mavoko kuondoka, tutegemee msanii mwingine kuondoka hivi karibuni!
Inaonekana kuna watu ambao pengine hawana nia njema, ama ni kutokuelewa au kulewa sifa wanataka kuibomoa wcb.
WCB imekuwa na mafanikio makubwa na hata kupelekea kufungua studio yake binafsi pamoja na kuwa na television studio yake ambapo pia wanampango wa kuanzisha radio yao lakini endapo uongozi na wasanii, hasa huyo mkubwa aliyeibeba lebo hii wasipobadilika na kuwa kitu kimoja pasipo kuingiza masuala binafsi basi tutegemee wasanii kuondoka hapo wcb hali itakayopelekea kuyumba na si ajabu hiyo tv wakaja kuiuza na ikabadilishwa pia hata jina...
Muda ni mwalimu mzuri sana!