Anguko laja WCB...!

Anguko laja WCB...!

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,120
Reaction score
24,667
Ni suala la muda tu, hali si shwari sana kwa mwenendo wa hii lebo!
Baada ya Mavoko kuondoka, tutegemee msanii mwingine kuondoka hivi karibuni!
Inaonekana kuna watu ambao pengine hawana nia njema, ama ni kutokuelewa au kulewa sifa wanataka kuibomoa wcb.
WCB imekuwa na mafanikio makubwa na hata kupelekea kufungua studio yake binafsi pamoja na kuwa na television studio yake ambapo pia wanampango wa kuanzisha radio yao lakini endapo uongozi na wasanii, hasa huyo mkubwa aliyeibeba lebo hii wasipobadilika na kuwa kitu kimoja pasipo kuingiza masuala binafsi basi tutegemee wasanii kuondoka hapo wcb hali itakayopelekea kuyumba na si ajabu hiyo tv wakaja kuiuza na ikabadilishwa pia hata jina...
Muda ni mwalimu mzuri sana!
 
WCB ilibebwa na nyota ya kudhalilisha wanawake,bosi kakwama kwa mwanamke wa shoka asiyedhalilishwa kiboya.

Chezea ua la bosslady

Nasubiria mapovu

Ikikuuma meza wembe
Ukweli utabaki kuwa ukweli, mond kayumba sana after bosslady kusepa!!
 
taarifa za chini chini ni kwamba fundi bishoo a me it's a WCB
 
Afu dizain kama mmetumwa hivi...

Em search "Diamond"

Uone results..


Wanga wapo kitambo.
 
WCB ilibebwa na nyota ya kudhalilisha wanawake,bosi kakwama kwa mwanamke wa shoka asiyedhalilishwa kiboya.

Chezea ua la bosslady

Nasubiria mapovu

Ikikuuma meza wembe
Nimependa iyo aya inayosema

Ikikuuma meza wembe
 
Back
Top Bottom