Superhuman 1995
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 1,909
- 3,210
Chawa wote,watapoa na vyura wote watazamaUna maana gani?
ChoiceVariable
Haujui summation ya hizo kete ikibase na assigned number zao ni sawa na kumi,hii ina maana summation zao ni sawa na mwezi hizi kete mbili zote zitapigwa,tusubiri muda mchache mambo mengiMzee wa kete!!
Mbona kete ya 6 inapumua vizuri na inagonga cheers na mwamba !!?
Mbona kete namba 4 imepewa kabisa kivumishi Cha Boss!!?
Mi nadhani
"KAZI na utu ,tunasonga mbele!
Mambo mengi muda mchacheNini Tena
Najua summation lakini ilipaswa tuanze kuona dalili !lakini dalili hamna !it means wawindwaji wamelielewa game na wamefanikiwa kujihami!!Haujui summation ya hizo kete ikibase na assigned number zao ni sawa na kumi,hii ina maana summation zao ni sawa na mwezi hizi kete mbili zote zitapigwa,tusubiri muda mchache mambo mengi
Muda mchache mambo mengiNajua summation lakini ilipaswa tuanze kuona dalili !lakini dalili hamna !it means wawindwaji wamelielewa game na wamefanikiwa kujihami!!
Kwl bangi ni mbayaMidomo yote itazibwa,masikio yote wasioamini watahisi dunia imetulia,macho ya wasioamini watapekecha ×2 kumuangalia shujaa wao kama kweli hayupo,lakini hawatamuona .
Hilo ni anguko kubwa ni lazima na halina budi kutokea.
##muda mchache mambo mengii##
Mambo mengi muda mchacheKwl bangi ni mbaya
Yule uliemsema atasimamia reforms na title take ni Mwalimu ,ndio huyo anaunguruma akitokea mbali!!?Muda mchache mambo mengi
Game limeanza kuchangamka,lakin kuna matukio mengi yataonekanaYule uliemsema atasimamia reforms na title take ni Mwalimu ,ndio huyo anaunguruma akitokea mbali!!?
Yaani beating from a far!!?
Muda mchache mambo mengi
Neema iko juu yetuAmina na ikawe hivyo
Mambo mengi muda mchacheMhhh