Mambo mengi muda mchacheHakuna jipya drama tu
2025Mwaka gani
Mambo mengi muda mchacheHuyu Maushungi tunaye sana tu wala tusifarijiane humu.
ImekuwaNa iwe hivyo.
Midomo yote itazibwa,masikio yote wasioamini watahisi dunia imetulia,macho ya wasioamini watapekecha ×2 kumuangalia shujaa wao kama kweli hayupo,lakini hawatamuona .
Hilo ni anguko kubwa ni lazima na halina budi kutokea.
##muda mchache mambo mengii##
Imani huzaa matokeoRamli chonganishi.
Kwa wale waliosoma ule uzi wa member Lifecode mwenye profile ya Nikola Tesla. Aliongelea maswala ya vibrations na universe. Kwamba ukifikiria kitu kwa muda na kuamini, basi kinaweza kutokea.
Nadhani watu wanaojiita watabiri wanatumia hiyo kanuni kwa kuwaaminisha wengi na kufanya hicho kitu kitokee.
Of course, hicho kitu siamini lakini pia sijui. Ngoja tuone hii practical experiment.
Mambo mengi muda mchacheVilio hivi na ngurumo zimekuwa nyingi,na milio ikizidi yaweza kupasua puto lenyewe.Kuna kakitu pahala.