ANIMALS INTELLIGENCE: Nani mwenye busara zaidi hapa?

kwa kuwa umeuliza uongozi basi bata anaongoza vizuri (yani kuonesha njia na kuwa mfano kwa watoto wake) kila anapokwenda.
lakini heading imeuliza busara lakini hauja specify katika lipi..! je tumuangalie mnyama kama mnyama au tuangalie huo mpangilio?
kwa busara katika huo mpangilio basi "bata" ana busara zaid kwani huwapanga watoto wake kwa mstari mmoja katika msafara wake
Pia kuna suala la usalama wa mpangilio hujauliza basi nitajibu nikiulizwa.
 
uchambuzi wa mwanzo ndio lengo hasa la mada na ukiangalia mpangilio na hata huo usalama yumkini ni among those laws of nature huenda usihusiane ni mnyama nwenyewe kuna kitu cha kujifunza ..........
 
Eenhe, tupe faida bibie
Kwanza nimesahihisha hapo juu,
Naam!
Ni kua Bata kutangulia mbele yeye watoto kumfata, ni ishara ya uongozi bora wa familia, mzazi unapaswa kucontrol familia yako, watoto wakufate wewe kwa kila kitu, uwaelekeze kila jambo, na kwa kua wanakufata wewe, ukipoteza muelekeo nao watakufata, so utakua makini katika njia zako siku zote.

Kuku kutanguliza watoto mbele yeye kuja nyuma ni ishara ya uongozi dhaifu, mzazi unakua unaongozwa na watoto, watoto wakienda huku huna budi kuwafata badala ya wao kukufata wewe,tumeona familia kadhaa watoto ndio wenye sauti kuliko wazazi.

Ahsante.
 
na ulinzi wa baba kwa mtoto upo vp, anatangulia mbele au anakua nyuma.
Pia ni vema kuuliza kazi za hawa wakina baba kuku (jogoo) na baba bata ni zipi. Waje hapa wajitetee kwa nini wasichinjwe tu na waliwe hasusa. Maana baada ya kugegeda tu basi hawana habari tena na familia kwa nini?
  • Wanatufunza nini sisi binadamu kuhusu majukumu ya wanaume katika familia?.
  • Je hawa binadamu wanaume (ndorobo) wanaolala baa na kuruka kutoka malaya mmoja kwenda kwa mwengine wanafanya makosa au ndio laws of nature zenyewe na wanalaumiwa bure tu?
 
Kwanza nimesahihisha hapo juu,
Naam!
Ni kua Bata kutangulia mbele yeye watoto kumfata, ni ishara ya uongozi bora wa familia, mzazi unapaswa kucontrol familia yako, watoto wakufate wewe kwa kila kitu, uwaelekeze kila jambo, na kwa kua wanakufata wewe, ukipoteza muelekeo nao watakufata, so utakua makini katika njia zako siku zote.

Kuku kutanguliza watoto mbele yeye kuja nyuma ni ishara ya uongozi dhaifu, mzazi unakua unaongozwa na watoto, watoto wakienda huku huna budi kuwafata badala ya wao kukufata wewe,tumeona familia kadhaa watoto ndio wenye sauti kuliko wazazi.

Ahsante.
uchambuzi murua pia huu
 
nadhani ipo mindume pia kazi uao ni kukojoza tu na kusepa, hapo ndio unaona umuhimu wa mama
 
Nilishawahi kuona mahali jogoo analea kifaranga, it was so nice to watch, yani maskini jogoo anaparua chini anakaachia kakifaranga kaje kudonoa, popote aendapo kakifaranga kapo pembeni, nilishuhudia kwa wiki nzima kisha wenye kuku wakamchukua kifaranga na kumuhifadhi pengine.
 
Kwanza nimesahihisha hapo juu,
Naam!
Ni kua Bata kutangulia mbele yeye watoto kumfata, ni ishara ya uongozi bora wa familia, mzazi unapaswa kucontrol familia yako, watoto wakufate wewe kwa kila kitu, uwaelekeze kila jambo, na kwa kua wanakufata wewe, ukipoteza muelekeo nao watakufata, so utakua makini katika njia zako siku zote.

Kuku kutanguliza watoto mbele yeye kuja nyuma ni ishara ya uongozi dhaifu, mzazi unakua unaongozwa na watoto, watoto wakienda huku huna budi kuwafata badala ya wao kukufata wewe,tumeona familia kadhaa watoto ndio wenye sauti kuliko wazazi.

Ahsante.
Naomba tuwaongelee ndege kama ndege ila tusiwalinganishe na binadamu kwakuwa tunatofautiana sana katika malezi kila kiumbe kinafalsafa yake ya malezi
 
Nilishawahi kuona mahali jogoo analea kifaranga, it was so nice to watch, yani maskini jogoo anaparua chini anakaachia kakifaranga kaje kudonoa, popote aendapo kakifaranga kapo pembeni, nilishuhudia kwa wiki nzima kisha wenye kuku wakamchukua kifaranga na kumuhifadhi pengine.
nahisi unamaanisha ile story ya yule msanii (RIP) na mwanafunzi wake
 
Back
Top Bottom