Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Imefikia tunajadili kuku? Seriously?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa ikitokea urukushani bata anakimbia huku akisema "bado nina mayai nitawapata wengine"Bata hutangulia mbele vifaranga huja nyuma,
Kuku hutanguliza watoto mbele yeye huja nyuma.
Kuna mazingatio makubwa sana ya ulezi kati ya hawa ndege wawili.
Kuna kitu kinaitwa Imprinting.
Ni tabia ya wanyama inayoonekana Masaa machache baada ya kuzaliwa ambapo kitoto kinaBond na chochote atakachoona akizaliwa, na kuanza kuiga tabia zake. sanasana kwa ndege na bata.
so bata akimuona tu mama, atakuwa anamfuata.
kama watoto waliona miguu ya mfugaji katika kipindi kile, watakuwa wanamfuata huyo mfugaji kila mahala wakiona miguu yake.
ikitokea mama hajaonwa katika kile kipindi, mtoto kamwe hatojua yeye ni bata au ndege. kama ni ndege ukimuacha porini, hatofuatana na wenzake.
na ukiokoa kitoto cha ndege, kinaBond na wewe, hatokuacha.
me naona ni uSuper mburulaz. msiwege kama watoto wa bata.
😀 😀 😀Nimevuta picha ninatembea huku vitoto vya bata vinanifata nyuma,
Teh teh teh.
duhlakini mkumbuke kuwa hatuna uhakika kuwa anayepanga ni mama au watoto,namaanisha inawezekana vifaranga vyenyewe ndo psychology yao na sio ya mama mtu,yaani watoto wa bata hubaki nyuma na sio mama yao huwaweka nyuma.na kwa kuku,vifaranga vinapenda kuwa mbele vyenyewe na sio temba anaviweka mbele.
well saidhii inafundisha kila mzazi ana kipaumbele chake katika familia, je wewe ushajiuliza una vipaumbele gani kwenye familia yako au watoto? Hapo kuna ndege/wanyama/samaki wenye kipaumbele ama cha afya/chakula, ama cha ulinzi/usalama, ama cha mafunzo ya kujitegemea. Kuku anaamini katika ulinzi ambavyo ni rahisi kumuona adui ktk kona zote, bata anaamini ktk uongozi na popote anapopita ni salama kwa watoto na ni rahisi kuwaongoza ktk kutafuta chakula, simba nao kwa mtazamo anafundisha kujiamini na kujitegemea, na viumbe wengine pia wana vipaumbele vyao hata sisi binadamu pia tunatofautiana ktk vipaumbele vyetu juu ya familia zetu.
Hapana mkuu, kuna namna ambayo ukimlinda inaleta usalama zaidi kwa mfano huyo aliowatanguliza wanae mbele endapo kama adui akitokea mbele anamuona na kabla hajaleta dhoruba lolote atajipanga kukabiriana nae hili kujiokoa yeye na watoto wake na pia akitokea kwa nyuma anakuwa wa kwanza kumuona na kujizatiti dhidi ya adui huyo.Kila mnyama ana interejensia yake ya kulinda uzao wake.....kwa maana hiyo wote wapo sahihi kutokana na malengo yao kufanana
hii nimeiona hata kwa baadhi ya wanyama kama temboKuna kitu kinaitwa Imprinting.
Ni tabia ya wanyama inayoonekana Masaa machache baada ya kuzaliwa ambapo kitoto kinaBond na chochote atakachoona akizaliwa, na kuanza kuiga tabia zake. sanasana kwa ndege na bata.
so bata akimuona tu mama, atakuwa anamfuata.
kama watoto waliona miguu ya mfugaji katika kipindi kile, watakuwa wanamfuata huyo mfugaji kila mahala wakiona miguu yake.
ikitokea mama hajaonwa katika kile kipindi, mtoto kamwe hatojua yeye ni bata au ndege. kama ni ndege ukimuacha porini, hatofuatana na wenzake.
na ukiokoa kitoto cha ndege, kinaBond na wewe, hatokuacha.
me naona ni uSuper mburulaz. msiwege kama watoto wa bata.
tunaangalia viashiria vingi pia kama vile nani hupoteza watoto wengi zaidi nkwote wapo sahihi , bata yeye huamini kuwa mbele lazima kuwepo na kiongozi mwenye kuonyesha njia yaani yeye na hii ndo dhana ya neon kiongozi yaani ni muonyesha njia, lakini kwa kuku kutokana na uwepo wa hatari nyingi juu ya wanawe yeye huamini kupitia kuwaona watoto wake ni hii njia huitwa ulinzi imara yaani mwenye siraha kali hukaa nyuma halafu hutangulizwa chambo ambaye ni mdogo. hivyo bila kupepesa macho bata ni kiongozi , kuku ni mlinzi.
wote wapo sahihi , bata yeye huamini kuwa mbele lazima kuwepo na kiongozi mwenye kuonyesha njia yaani yeye na hii ndo dhana ya neon kiongozi yaani ni muonyesha njia, lakini kwa kuku kutokana na uwepo wa hatari nyingi juu ya wanawe yeye huamini kupitia kuwaona watoto wake ni hii njia huitwa ulinzi imara yaani mwenye siraha kali hukaa nyuma halafu hutangulizwa chambo ambaye ni mdogo. hivyo bila kupepesa macho bata ni kiongozi , kuku ni mlinzi.