Mtoto Wabibi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 451
- 294
uchambuzi wa mwanzo ndio lengo hasa la mada na ukiangalia mpangilio na hata huo usalama yumkini ni among those laws of nature huenda usihusiane ni mnyama nwenyewe kuna kitu cha kujifunza ..........kwa kuwa umeuliza uongozi basi bata anaongoza vizuri (yani kuonesha njia na kuwa mfano kwa watoto wake) kila anapokwenda.
lakini heading imeuliza busara lakini hauja specify katika lipi..! je tumuangalie mnyama kama mnyama au tuangalie huo mpangilio?
kwa busara katika huo mpangilio basi "bata" ana busara zaid kwani huwapanga watoto wake kwa mstari mmoja katika msafara wake
Pia kuna suala la usalama wa mpangilio hujauliza basi nitajibu nikiulizwa.
Kwanza nimesahihisha hapo juu,Eenhe, tupe faida bibie
uongoz wa kuku mzurView attachment 351790
Kwa muda mrefu nimeendelea kushangaa intelejensia ya wanyama kwa muono huu wa picha hapa kwamba kuna viumbe View attachment 351790 View attachment 351266 hutanguliza watoto na wengine hukaaa sambamba na wengine hukaa nyuma ya watoto wao
je uongozi upi ni bota hapa?
View attachment 351266
Pia ni vema kuuliza kazi za hawa wakina baba kuku (jogoo) na baba bata ni zipi. Waje hapa wajitetee kwa nini wasichinjwe tu na waliwe hasusa. Maana baada ya kugegeda tu basi hawana habari tena na familia kwa nini?na ulinzi wa baba kwa mtoto upo vp, anatangulia mbele au anakua nyuma.
Na wapo wanadamu wana tabia kama hiyo ya chura.Chura akitaga anaondoka mtoto yake unajuwa kama michokoraa vile yaani Toto likitoka tu kwenye yai teyari linaanza maisha halijui mama wala baba
uchambuzi murua pia huuKwanza nimesahihisha hapo juu,
Naam!
Ni kua Bata kutangulia mbele yeye watoto kumfata, ni ishara ya uongozi bora wa familia, mzazi unapaswa kucontrol familia yako, watoto wakufate wewe kwa kila kitu, uwaelekeze kila jambo, na kwa kua wanakufata wewe, ukipoteza muelekeo nao watakufata, so utakua makini katika njia zako siku zote.
Kuku kutanguliza watoto mbele yeye kuja nyuma ni ishara ya uongozi dhaifu, mzazi unakua unaongozwa na watoto, watoto wakienda huku huna budi kuwafata badala ya wao kukufata wewe,tumeona familia kadhaa watoto ndio wenye sauti kuliko wazazi.
Ahsante.
nadhani ipo mindume pia kazi uao ni kukojoza tu na kusepa, hapo ndio unaona umuhimu wa mamaPia ni vema kuuliza kazi za hawa wakina baba kuku (jogoo) na baba bata ni zipi. Waje hapa wajitetee kwa nini wasichinjwe tu na waliwe hasusa. Maana baada ya kugegeda tu basi hawana habari tena na familia kwa nini?
- Wanatufunza nini sisi binadamu kuhusu majukumu ya wanaume katika familia?.
- Je hawa binadamu wanaume (ndorobo) wanaolala baa na kuruka kutoka malaya mmoja kwenda kwa mwengine wanafanya makosa au ndio laws of nature zenyewe na wanalaumiwa bure tu?
Naomba tuwaongelee ndege kama ndege ila tusiwalinganishe na binadamu kwakuwa tunatofautiana sana katika malezi kila kiumbe kinafalsafa yake ya maleziKwanza nimesahihisha hapo juu,
Naam!
Ni kua Bata kutangulia mbele yeye watoto kumfata, ni ishara ya uongozi bora wa familia, mzazi unapaswa kucontrol familia yako, watoto wakufate wewe kwa kila kitu, uwaelekeze kila jambo, na kwa kua wanakufata wewe, ukipoteza muelekeo nao watakufata, so utakua makini katika njia zako siku zote.
Kuku kutanguliza watoto mbele yeye kuja nyuma ni ishara ya uongozi dhaifu, mzazi unakua unaongozwa na watoto, watoto wakienda huku huna budi kuwafata badala ya wao kukufata wewe,tumeona familia kadhaa watoto ndio wenye sauti kuliko wazazi.
Ahsante.
nahisi unamaanisha ile story ya yule msanii (RIP) na mwanafunzi wakeNilishawahi kuona mahali jogoo analea kifaranga, it was so nice to watch, yani maskini jogoo anaparua chini anakaachia kakifaranga kaje kudonoa, popote aendapo kakifaranga kapo pembeni, nilishuhudia kwa wiki nzima kisha wenye kuku wakamchukua kifaranga na kumuhifadhi pengine.
samahani, ulikosea kuandika au nikweli hawa wanyama tumewaumba sisi?"Na katika hao wanyama tuliowaumba,kuna MAZINGATIO KWA WATU WENYE AKILI."
Niko sahihi mkuu! Ni Quran sura ya 45 aya nimeisahau kidogo.Ni kauli ya Mwenyezi Mungu.samahani, ulikosea kuandika au nikweli hawa wanyama tumewaumba sisi?