ANIMALS INTELLIGENCE: Nani mwenye busara zaidi hapa?


Bata hana hekima hiyo Mkuu, yeye anawafuata watoto na yupo tayari kugombea msosi na wanae.
 
Watoto wa bata hulazimika kutangulia mbele ili kuwahi chakula, maana mama bata huwa anagombea chakula na watoto kinyume na mama kuku anayehangaika mpaka kujiridhisha watoto wake wapate kula, CHUNGUZA.
hii kali nayo asante
 
Katika maelezo yako hujakusa mfumo upi ni salama zaidi
Kuku anajali zaidi usalama wa vifaranga kuliko bata
Bata ni kiongozi mzuri lakini mfumo wake haujali usalama
 
Wote wako sawa, ila kitu cha kuzingatia kwa wote ; mosi; flexibility ya kukabiliana na maadui watakaoshambulia uzao wao, pili,assurance of security, anayewacha watoto wake nyuma may be, anauhakika wa alikotoka kuko secure na hivo hana uhakika wa anakoenda ndiyo maana anatangulia ili kukabiliana na adui aliyoko mbele. vise versa (mtazamo tu)
 
Mkuu huyo kuku ni zaidi kwani analea anahudumia chakula na analinda mwanzo mwisho huyo bata yy akishaangua hana time na watoto kwenye chakula ki vyavyao watajua wenyewe[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
umewaza nini kuleta mada hii maana inatafakurisha Zaidi ya kuangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…