Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyeweHamna kipaji hapo sio kila mtu aimbe mbona kuna shughuli nyingi sana za kufanya
yani mnataka kutembelea jina la zuchu hahahha huyo dada ni utopolo hana kipaji analazimisha fani. fanyeni basi mziki wenu bila comparison na wasafi yani mnataka mtembelee jina la wasafi tu eeeehhhhNinachojua hakuna mwanzo mrahisi hata yule zuchu watu walidai anaimba taarabu na kaswida Mara muonekano na vingine lakini sasa amezoeleka kwahiyo anjella bado yupo mwanzo muacheni afanye kazi yake sio lazima umsikilize wapo waliomuelewa
Sasa ni usajili upi konde kafanikiwa maana sajili zote mnadai kachemka...Binafsi namuona very average, hana kitu kipya na hastui. Yani sio yule msanii utasema ebu niende YouTube nikamsikilize.
Kuhusu muonekano as ikiwa ni moja ya package ya msanii mkubwa, sitozungumzia maana nimesikia ana changamoto. Ila kwa kweli naona usajili huu ndugu Konde amechemka.
Kwahiyo hapo umefurahi au sioKweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe
Hivi wanawake ni lini mtaacha kuchukiana?yani mnataka kutembelea jina la zuchu hahahha huyo dada ni utopolo hana kipaji analazimisha fani. fanyeni basi mziki wenu bila comparison na wasafi yani mnataka mtembelee jina la wasafi tu eeeehhhh
Nadhani nikuulize umefurahi my baby?Kwahiyo hapo umefurahi au sio
Sasa ni usajili upi konde kafanikiwa maana sajili zote mnadai kachemka...
Konde gang wamepata kitu.Wazee wenzangu tumepata binti mwenye sauti real. Huyu Ajella nimefuatilia alivyokuwa akiimba cover na single yake aliyoitoa juzi. Kweli huyu binti sauti yake ipo vizuri.
Mimi ninamsihi aendelee kuwa mnyenyekevu atafika mbali sana. Wasanii wengi hawawezi kuimba live.
But Anjella anaweza. Ninaona kwa mbali the real sound ya kuja ku replace Ruby hii hapa.
Mimi sijui Ruby alikwama wapi. But Ruby yupo vizuri sana.
Tumpe muda jamani,.Zuchu alipondwa hivihivi mwanzoni, lakini kwa sasa nadhani wote wanasadiki kwamba binti yupo vizuri.Binafsi namuona very average, hana kitu kipya na hastui. Yani sio yule msanii utasema ebu niende YouTube nikamsikilize.
Kuhusu muonekano as ikiwa ni moja ya package ya msanii mkubwa, sitozungumzia maana nimesikia ana changamoto. Ila kwa kweli naona usajili huu ndugu Konde amechemka.