Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Wazee wenzangu tumepata binti mwenye sauti real. Huyu Ajella nimefuatilia alivyokuwa akiimba cover na single yake aliyoitoa juzi. Kweli huyu binti sauti yake ipo vizuri.
Mimi ninamsihi aendelee kuwa mnyenyekevu atafika mbali sana. Wasanii wengi hawawezi kuimba live.
But Anjella anaweza. Ninaona kwa mbali the real sound ya kuja ku replace Ruby hii hapa.
Mimi sijui Ruby alikwama wapi. But Ruby yupo vizuri sana.