Anjella kweli ana sauti nzuri

Anjella kweli ana sauti nzuri

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Wazee wenzangu tumepata binti mwenye sauti real. Huyu Ajella nimefuatilia alivyokuwa akiimba cover na single yake aliyoitoa juzi. Kweli huyu binti sauti yake ipo vizuri.

Mimi ninamsihi aendelee kuwa mnyenyekevu atafika mbali sana. Wasanii wengi hawawezi kuimba live.

But Anjella anaweza. Ninaona kwa mbali the real sound ya kuja ku replace Ruby hii hapa.

Mimi sijui Ruby alikwama wapi. But Ruby yupo vizuri sana.
 
Binafsi namuona very average, hana kitu kipya na hastui. Yani sio yule msanii utasema ebu niende YouTube nikamsikilize.

Kuhusu muonekano as ikiwa ni moja ya package ya msanii mkubwa, sitozungumzia maana nimesikia ana changamoto. Ila kwa kweli naona usajili huu ndugu Konde amechemka.
 
Ninachojua hakuna mwanzo mrahisi hata yule zuchu watu walidai anaimba taarabu na kaswida Mara muonekano na vingine lakini sasa amezoeleka kwahiyo anjella bado yupo mwanzo muacheni afanye kazi yake sio lazima umsikilize wapo waliomuelewa
 
yani mnataka kutembelea jina la zuchu hahahha huyo dada ni utopolo hana kipaji analazimisha fani. fanyeni basi mziki wenu bila comparison na wasafi yani mnataka mtembelee jina la wasafi tu eeeehhhh
 
Binafsi namuona very average, hana kitu kipya na hastui. Yani sio yule msanii utasema ebu niende YouTube nikamsikilize.

Kuhusu muonekano as ikiwa ni moja ya package ya msanii mkubwa, sitozungumzia maana nimesikia ana changamoto. Ila kwa kweli naona usajili huu ndugu Konde amechemka.
Sasa ni usajili upi konde kafanikiwa maana sajili zote mnadai kachemka...
 
Anjella yupi tena jamani si tulikubaliana ni zuchu
1615716730057.png
 
Wazee wenzangu tumepata binti mwenye sauti real. Huyu Ajella nimefuatilia alivyokuwa akiimba cover na single yake aliyoitoa juzi. Kweli huyu binti sauti yake ipo vizuri.

Mimi ninamsihi aendelee kuwa mnyenyekevu atafika mbali sana. Wasanii wengi hawawezi kuimba live.

But Anjella anaweza. Ninaona kwa mbali the real sound ya kuja ku replace Ruby hii hapa.

Mimi sijui Ruby alikwama wapi. But Ruby yupo vizuri sana.
Konde gang wamepata kitu.

Ila konde gang kazingua sana kwenye ule mstari wa anataka kutoa alipozoe ili apelekwe mtaroni ,,,,radio inabidi wafute kile kipande cha mtaroni hakipendezi.
 
I owe that gal, yuko poa tu ila afanye diet afanane na msanii😄😄😄
 
Binafsi namuona very average, hana kitu kipya na hastui. Yani sio yule msanii utasema ebu niende YouTube nikamsikilize.

Kuhusu muonekano as ikiwa ni moja ya package ya msanii mkubwa, sitozungumzia maana nimesikia ana changamoto. Ila kwa kweli naona usajili huu ndugu Konde amechemka.
Tumpe muda jamani,.Zuchu alipondwa hivihivi mwanzoni, lakini kwa sasa nadhani wote wanasadiki kwamba binti yupo vizuri.
 
Back
Top Bottom