Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
- Thread starter
- #21
Wadau huu ni uzi wetu wapenz wa bidhaa za kampuni ya anker
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NiAnker ni Moja ya portable speaker nzuri mno sound yake ni very clear Ila JBL ni habari nyingine ingawa zinatofauti kiasi Ila JBL unaweza piga indoor na outdoor
Kwangu JBL ni best Na option yake ya partboost [emoji91][emoji91]View attachment 2429863
Safi kijana ,sasa fanya ku upgrade uende hatua ingine manSijawahi kutumia wala kusikia kwa mtu mwingine kuwa Bluetooth speaker yake inaweza kutumika kwa masaa 15 bila kukata moto ila hii Anker soundcore min yangu inapiga mziki kwa saa 15 na ina base safi.
Una taka product ipi mzeeNitaata wapi Anker products
Agiza online upate unyama wa uhakika na maisha yaendeAnker Bluetooth headphones
Hivi anker wana BS nyingine yenye fm radio tofauti na kale ka mini?Agiza online upate unyama wa uhakika na maisha yaende
Nope linkAgiza online upate unyama wa uhakika na maisha yaende
Hivi anker wana BS nyingine yenye fm radio tofauti na kale ka mini?