TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

Sad[emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174]
Rest well mama, msalimie Shujaa JPM mwambie Mama SSH anachapa kazi[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Anaupga mwingi
 
Sad [emoji17] news. Mungu awafariji familia yake
 
Apumzike kwa amani sana.

Wajumbe tuendelee kuchukua tahadhari
 
Tumaini hakikuwa chuo kikuu miaka ya Mama Anna. Hata sisi watoto wake wakati tuko chuo kikuu, Tumaini bado hakikuwa university.
Alipata shahada yake ya kwanza katika theolojia kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini kabla ya kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam alipoongeza shahada ya sheria (LLB) mnamo 1986.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…