TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

Jamani!!! Kweli hatujui saa wala dakika ya kuondoka duniani.

Zaidi ya yote RIP mama Mgwhila
 
Duh! COVID-19 ni balaa. RIEP former RC.
 
R.I.P. Mama!
 
Bahati mbaya kwake amefia dhambini (CCM)
 
Moyo wangu ni mzito sana

Taarifa za kuhusu umauti wake zimenitia ufa moyoni, zimeupasua katikati.

Nilimpenda sana huyu mama
 
Moyo wangu ni mzito sana

Taarifa za kuhusu umauti wake zimenitia ufa moyoni, zimeupasua katikati.

Nilimpenda sana huyu mama

Alikua muungwana sana, mwenye kujali utu na hekima . Mungu awape faraja wote walioguswa na msiba huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…