Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Huyu dada tulimsikia wakati wa harusi na mtoto wa Paul Rupia yake miaka ile ya '90. Sasa hivi ameibuka kama Mkurugenzi wa Seacom Tanzania.
Wadau tulisikia kuwa ile ndoa haikudumu, je ni kweli?
![]()
sasa una m salute nini? ujinga alio post hapoMkuu GT
I Salute You!
Anna una bahati naona wadau wa JF wanakukingia kifua,hongera mama!
![]()
Huyu dada tulimsikia wakati wa harusi na mtoto wa Paul Rupia yake miaka ile ya '90. Sasa hivi ameibuka kama Mkurugenzi wa Seacom Tanzania.
Wadau tulisikia kuwa ile ndoa haikudumu, je ni kweli?
![]()
Anaongoza kampuni iliyopewa jukumu la kusimamia information gateway ya nchi yetu hivyo ni mtu muhimu sana.Samahani kuwa Mkurugenzi kwake kunahusiana nini na kuachana na mumewe, kweli msipende kunyanyasa wanawake. Au ulipenda ashuke zaidi? sio vizuri hivyo lakini, halafu haya ni maisha yao binafsi je sie tukianikwa kwenye forums itakuweje?