Anna Kahama

Anna Kahama

Keykey

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2006
Posts
3,251
Reaction score
747
seacom.jpg

Huyu dada tulimsikia wakati wa harusi na mtoto wa Paul Rupia yake miaka ile ya '90. Sasa hivi ameibuka kama Mkurugenzi wa Seacom Tanzania.

Wadau tulisikia kuwa ile ndoa haikudumu, je ni kweli?

DSC_0076.jpg
 
stanley2.gif

all i know she got some nice lips
 
hii hoja haitujengi saana,la muhimu tujadili matatizo yanayoikumba tz yetu na wananchi kwa ujumla
 
Anna una bahati naona wadau wa JF wanakukingia kifua,hongera mama!
 
ana bahati ya nini? ulitegemea watu wamponde au?
ninavyomjua ana ni dada mzuri ana roho nzuri sana, na baada ya ndoa yake kuvunjika alirudi kwa wazazi wake osterbay.
 
seacom.jpg

Huyu dada tulimsikia wakati wa harusi na mtoto wa Paul Rupia yake miaka ile ya '90. Sasa hivi ameibuka kama Mkurugenzi wa Seacom Tanzania.

Wadau tulisikia kuwa ile ndoa haikudumu, je ni kweli?

DSC_0076.jpg

Samahani kuwa Mkurugenzi kwake kunahusiana nini na kuachana na mumewe, kweli msipende kunyanyasa wanawake. Au ulipenda ashuke zaidi? sio vizuri hivyo lakini, halafu haya ni maisha yao binafsi je sie tukianikwa kwenye forums itakuweje?
 
Anaongoza kampuni iliyopewa jukumu la kusimamia information gateway ya nchi yetu hivyo ni mtu muhimu sana.
 
Back
Top Bottom