JackisonDubai
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 537
- 1,282
Spika wa bunge msitaafu Mh Anna Makinda ambaye pia amehudumu serikalini Kwa zaidi ya miaka 40, akiwa kwenye Misa ya kumbukizi ya hayati Magufuli ametoa sifa nyingi kuhusu Rais huyo wa awamu ya tano, na akatoa Siri kwamba Kuna viongozi wengi walikuwa hawataki serikali kuhamia Dodoma na walikuwa wanaona ni upuuzi tu
Lakini alipoingia Rais Magufuli serikali ilihamia na ikajengwa Ikulu bora kabisa na kubwa kwenye ukanda wote wa Afrika mashariki na ya kati.
Anne Makinda ameonya kuwa mwanasiasa yoyote anayepotosha kwamba Magufuli hakuwa chochote Tanzania atashindwa tu.