Anna Makinda: Kuna Mawaziri walikuwa wanapinga Serikali kuhamia Dodoma, bila Hayati Magufuli isingewezekana

Anna Makinda: Kuna Mawaziri walikuwa wanapinga Serikali kuhamia Dodoma, bila Hayati Magufuli isingewezekana

Huyu bibi ni mjinga sn, kwa umri wake kuhangaika na mawigi kama vile yupo F2 ni aibu kwa taifa, je hao mawaziri sahivi wapo Dodoma au Dar? kuhamia Dodoma ndiyo kumaliza shida za wananchi?
Kama kweli una jina la kiume basi una hulka ya KE'
 
Spika wa bunge msitaafu Mh Anna Makinda ambaye pia amehudumu serikalini Kwa zaidi ya miaka 40, akiwa kwenye Misa ya kumbukizi ya hayati Magufuli ametoa sifa nyingi kuhusu Rais huyo wa awamu ya tano, na akatoa Siri kwamba Kuna viongozi wengi walikuwa hawataki serikali kuhamia Dodoma na walikuwa wanaona ni upuuzi tu

Lakini alipoingia Rais Magufuli serikali ilihamia na ikajengwa Ikulu bora kabisa na kubwa kwenye ukanda wote wa Afrika mashariki na ya kati.

Anne Makinda ameonya kuwa mwanasiasa yoyote anayepotosha kwamba Magufuli hakuwa chochote Tanzania atashindwa tu.


Watu hawawezi kufanana,hata Sasa mpo mnaopinga maridhiano ya kuleta Katiba Mpya mbona.
 
Back
Top Bottom