Anna Makinda: Kuna Mawaziri walikuwa wanapinga Serikali kuhamia Dodoma, bila Hayati Magufuli isingewezekana

Spika wa bunge msitaafu Mh Anna Makinda ambaye pia amehudumu serikalini Kwa zaidi ya miaka 40, akiwa kwenye Misa ya kumbukizi ya hayati Magufuli ametoa sifa nyingi kuhusu Rais huyo wa awamu ya tano, na akatoa Siri kwamba Kuna viongozi wengi walikuwa hawataki serikali kuhamia Dodoma na walikuwa wanaona ni upuuzi tu

Lakini alipoingia Rais Magufuli serikali ilihamia na ikajengwa Ikulu bora kabisa na kubwa kwenye ukanda wote wa Afrika mashariki na ya kati.

Anne Makinda ameonya kuwa mwanasiasa yoyote anayepotosha kwamba Magufuli hakuwa chochote Tanzania atashindwa tu.

Kwani yeye Alitaka Kila kitu iwe ndio Mzee? Kwani wao ni nyumbu?
 
Spika wa bunge msitaafu Mh Anna Makinda ambaye pia amehudumu serikalini Kwa zaidi ya miaka 40, akiwa kwenye Misa ya kumbukizi ya hayati Magufuli ametoa sifa nyingi kuhusu Rais huyo wa awamu ya tano, na akatoa Siri kwamba Kuna viongozi wengi walikuwa hawataki serikali kuhamia Dodoma na walikuwa wanaona ni upuuzi tu

Lakini alipoingia Rais Magufuli serikali ilihamia na ikajengwa Ikulu bora kabisa na kubwa kwenye ukanda wote wa Afrika mashariki na ya kati.

Anne Makinda ameonya kuwa mwanasiasa yoyote anayepotosha kwamba Magufuli hakuwa chochote Tanzania atashindwa tu.

Vivid truth
 
Mkuu kwani magu hakua na mapungufu????
 
@Kulwa Jilala unajiuliza na kujijibu mwenyewe
Rais Samia ameanza kufoka ati "stupid"?

Huu ni mwanzo tu wa ripoti za CAG kuumbua zaidi utawala wako , ufisadi uliuasisi mwenyewe mwanzoni kabisa ya utawala wako.

Wakati anaingia madarakani, kwa kutumia hekima zake na uungwana wake, alianza kuyafungulia majizi na mafisadi yaliyofungwa jela.

Tukaona wazalendo wote wanafukuzwa kazi na kurudishwa majizi kama akina Nape, Kinana, Makamba! Majizi yakaanza kurudishiwa hela zao, symbion wakalipwa billion 360 chapchap bila kufuata utaratibu wa bunge.

Akatuambia kuwafunga majizi jela ni udikteta, na kwamba majizi wanatakiwa kuachiwa huru na kupewa kongole. Hiyo ndiyo demokrasia ya kweli.

Na baada ya hapo, tukaambiwa kwamba majizi wanatakiwa kulipwa fidia na ruzuku. Hatupaswi kuwasumbua kwa namna yoyote ili kulinda misingi ya utawala wa sheri.

Akina Makamba wakawa wanaleta makampuni kutoka nje Kwa mikataba ya hovyo Kwa mabilioni ya pesa..
 
..maofisi na majumba ya kifahari ya viongozi yaliyojengwa Dodoma yametusaidia nini wananchi?

..fedha zilizotumika kujenga Dodoma zisingetosha kuboresha BANDARI zetu?

..Kati ya kujenga Dodoma na kuboresha bandari kipi kingeleta tija na manufaa zaidi?
 
Huna akili , mlamba makalio ya warabu wewe
 
Back
Top Bottom