Anaponda waliopingana na Magufuli halafu mnataka yeye asipondwe?. Mama mnafiki Sana.
..halafu kuna tatizo kubwa sana ktk jinsi Watz tunavyojadili mambo mbalimbali.
..kwa mtizamo wangu Mama Makinda hakupaswa kusema kuna waliopinga na kuunga mkono ujenzi wa mji mkuu Dodoma.
..kwasababu anadai alikuwa sehemu ya mjadala basi angeeleza waliopinga walikuwa na hoja 1 2 3. Vilevile aeleze na hoja za waliounga mkono.
..Pia angeeleza baada ya ujenzi wa mji mkuu Dodoma tumetumia kiasi gani, na hasara na faida zake ni nini.