Anna Makinda: Kuna Mawaziri walikuwa wanapinga Serikali kuhamia Dodoma, bila Hayati Magufuli isingewezekana

Anna Makinda: Kuna Mawaziri walikuwa wanapinga Serikali kuhamia Dodoma, bila Hayati Magufuli isingewezekana

Huyu bibi ni mjinga sn, kwa umri wake kuhangaika na mawigi kama vile yupo F2 ni aibu kwa taifa, je hao mawaziri sahivi wapo Dodoma au Dar? kuhamia Dodoma ndiyo kumaliza shida za wananchi?
Vipi tena hizo chuki? sasa comment yake ina uhusiano gani na hayo maneno yako? Yeye kama mwananchi kafanya comment, sasa ujinga unatoka wapi hapo?
 
Vipi tena hizo chuki? sasa comment yake ina uhusiano gani na hayo maneno yako? Yeye kama mwananchi kafanya comment, sasa ujinga unatoka wapi hapo?
Jibu swali: serikali kuhamia Dom ndiyo kumaliza matatizo ya wananchi au tumeongeza gharama za uendeshaji? sahivi Waziri lazima awe na nyumba Dodoma na Dar vinginevyo alipiwe five star hotel na serikali na hapo nje na dereva, katibu wake, msaidizi wake, huoni kama tumeongeza gharama za uendeshaji mara 2 ya mwanzo? muda mwingi Rais na Mawaziri wapo Dar.
 
Ukubwa wa ikulu unasaidiaje maendeleo ya nchi? Tuna ukumbi wa Bunge mkubwa karibia mara 4 ya ukumbe wa Bunge la Uingereza, je, tumeizidi maendeleo Uingereza, au hata wabunge wetu wetu wanajadili mambo ya maana kuliko wabunge wa UK?

Tunahangaika na na umaarufu wa kijinga, kwenye vitu visivyo na msaada kwa wananchi tukiyaacha mambo ya maana mengi ambayo tungeweza kuyafanya.
Uko sahihi kabisa, huoni CHADEMA wana kiofisi kidogo kama makao makuu yake lakini wanasaidia wananchi mno. Kuliko wenye ofisi kubwa - CUF!
 
Back
Top Bottom