JackisonDubai
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 537
- 1,282
Tulia dawa ikuingieHii video ni ya zamani sana
Mnashindana Kwa kuishi Ubelgiji kwenye geto la AmsterdamKwahiyo tunashindana kwa ukubwa wa ikulu, Kanda ya Kati na afrika mashariki?
Anyway hicho ndo tunachoweza.
Kwani dawa ni ipi?Tulia dawa ikuingie
mjinga kwa kuwa katoa hisia zake ni haki yake kikatiba hivyo msimtukane.kama una hoja mjibu kwa hoja lkn kutukana ni dalili ya kuishiwa kihoja.Huyu bibi ni mjinga sn, kwa umri wake kuhangaika na mawigi kama vile yupo F2 ni aibu kwa taifa, je hao mawaziri sahivi wapo Dodoma au Dar? kuhamia Dodoma ndiyo kumaliza shida za wananchi?
Tunajadili content za hiyo videoKwani dawa ni ipi?
Au hii video umeiona Leo kiongozi??
Hoja gani? kuna waziri sahivi yupo Dom?mjinga kwa kuwa katoa hisia zake ni haki yake kikatiba hivyo msimtukane.kama una hoja mjibu kwa hoja lkn kutukana ni dalili ya kuishiwa kihoja.
Sawami nimeongelea mudaTunajadili content za hiyo video
Semaaaaaa....... au basi
Atake asitake ataujenga100% true, hata ujenzi wa bwawa la umeme la mwalimu Nyerere kuna mbabaishaji mmoja akiwa waziri alikuwa anaupinga, JPM akam 'dismiss' leo ndio kawekwa kuwa incharge wa ile wizara, vituko vitupu.
Tulia dawa ikuingie kenge weweMbona Nguvu kubwa sana inatumika kuusimamisha huyo mfu?
Kuokoteza viji video vya ajabu ajabu tu ili kumfanya awe relevant