Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Waache wakina mama waamuwe wao,Nina wasiwasi na serikali hii kma kweli ina dhamira ya dhati kuinua elimu na kuwasaidia watoto wa masikini. Nakumbuka kwenye kampeni mjini Tabora mjomba alisema hakuna mtoto atakayekosa mkopo. Sasa sijui kma mjomba anakumbuka. Kwenye majukwaa wanasema hii ni serikali ya wanyonge na maskini, Lkn kwenye utekelezaji ni tofauti kabisa. Huu umaskini wetu ndo viongozi wanajivunia.
Kwani umeambiwa utaichangia serikali ya sehemu fulani??kuchanga tutachanga ila unakumbuka hela ya tetemeko mama yangu ?
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa huyu mama na chombo chake kitakachoundwa watazishambulia pesa zao??Pesa ya rambirambi wanajua walichokifanya na hii ni laana hta mbele ya Mwenyezi Mungu, bila haya watu wanafanya mambo ya shetani
Haya ndio mawazo ambayo huwa tunayategemea swhemu kama jfMama yangu umetoa wazo zuri,nachelea kusema watu wanaweza kuchukulia unataka kujijenga kisiasa na kumbuka ulikuwa kwenye kinyang'anyiro cha uraisi.
Kumbuka serikali iliyopo madarakani ilisema watapewa mikopo wale tu waliosoma shule za serikali kwa maana ya kuwa waliosoma private wazazi wao wana uwezo!!!???
Uangalie usije kuwa unataka kuichonganisha serikali na wananchi wake maana tunatofautiana uelewa.
Ili kutoingia kwenye mgogoro,ningeshauri uanzie huko huko serikalini kwa kuwaomba wakukubarie wazo lako.
Naamini,watanzania wengi watakuunga mkono na si wanawake tu kama uluvyoainisha.
Watoto wamebaguliwa, kuna watoto wa watanzania na walipa kodi ndo wanafaidi kodi za wazazi wao!!!!
Hili huwa linatia hasira kama sio kusikitisha....
Hongera mama kwa kuja na hili wazo,simama nali,komaa nalo mpaka uone matunda yake.
Kipindi cha nyuma kadri tunavosikia stori kulikuwa na tatizo mtoto anafaulu kwenda sekondari lakini alikosa nafasi kwa upungudu wa shule husika!!!Akhsante sana mama,hoja ya msingi kabisa. Mimi niliwahi kupata wazo kwa ajili ya kuchangia elimu kwa watoto wetu.
Kama serikali inashindwa kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wanaostahili,basi tuweke taratibu,sheria au kanuni ambazo zitalazimisha halmashauri husika ambapo mwanafunzi anatoka kuhakikisha mwanafunzi huyo anasomeshwa nao. Na hili kuna Halmashauri wanafanya tayari. Pia kama tunaweza kuchangia sherehe mbalimbali ( mpaka arobaini ya mtoto) na kupatikana mamilioni,kwa nini tusichangishane kwa hawa watoto ambao wamekosa mikopo? Utengenezwe utaratibu tu hata wa kutoa asimilia fulani za michango ya sherehe kwa ajili ya kusaidia hawa vijana. Hili kimsingi ni jukumu la serikali,lakini kama pamoja na kelele zote zilizokwisha pigwa kuhusu wanafunzi wote wenye sifa za kupewa mikopo wapewe,bado wahusika hawaonyeshi kujali. Sasa tuache kuwasaidia vijana wetu kusoma kisa tu si jukumu letu ni la serikali au tuwasaidie ili kujenga Tanzania bora ya kesho.
We have problem with priorities !Mama Mghwira
Nadhani tungeanza kuwa kujiuliza kwanza, ni kwa nini hii serikali imeshindwa kusomesha vijana wa taifa ili.
Inawezekana vipi pesa za kusomesha vijana zikakosekana lakini:
1. Pesa za Bombadier zikasepo
2. Pesa za kulipia Boeing zikawepo
3. Pesa za kujengea Chato Airport zikawepo
4. Pesa za kuamishia serikili Dodoma zikawepo
5. etc
Naamini kabisa hii serikali inayo pesa za kutosha za kulipia vijana wenye vigezo, ila tatizo ni kwamba, kipaumbele cha serikali sio kuwa na wasomi wengi wa Higher Education. Kipaumbele ni kuwa na vijana wengi walioishia darasa la 7 au Form 4, ndio maana huku ndiko serikali imeweka nguvu zake na msisitizo
Waooooh, hili wazo bonge la wazoNI WAZO NZURI MAMA. MIKAKATI IANZE KWANI WAADHIRIKA NI WENGI NA NI WATOTO WA MASIKINI.
KWANZA FANYA PRESS CONFERENCE NA WAANDISHI WA HABARI, THEN IFUATE FUNDRISING.
ATAKAYEFIKIRI HILI NI SUALA LA KISIASA MUNGU AMSHUSHE CHINI.