Anna Tibaijuka: Ndugai aliniambia kwamba suala la Lissu ni “Maelekezo”

Acheni kuleta propaganda Ndugai alikuwa mbaya kuliko hata Magufuri.
 
hakika
 
Keyboard warrior katika ubora wako
 
Maisha ya uongozi yana mengi.

Rip Job.
 
Hii siasa
 
Unapewa mamelekezo ya kijinga na yenye chuki namna hii na wewe unayakubali? Nadhani hapa badala ya kumsafisha Ndugai amezidi kuonyesha kuwa alikuwa hafai hata kidogo.
Haya maelezo ni mtiririko mrefu wa mambo yaliyokuja kujumuisha kifo cha Magufuli, kila mtu angekimbia mtumbwi nani angeufikisha ng’ambo ya mto?
 

Kwamba Job alikuwa mbinafsi mwenye kuangalia maslahi yake tu? Na sasa ndiyo tumwelewe? Looh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…