Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kiuhalisia Tanzania imeendelea kuwa ngumu sana! Vitisho na hofu kwa wananchi zimekuwa kubwa sana
Unaogopa kusema kitu kwa hofu ya kutekwa Mungu atusaidie sana tuondoke huku.
Mama Tibaijuka naye kasema ukweli mtupu maana matukio ya namna hii ni lazima tu yatazalisha ugaidi mkubwa sana na hata chuki kali ndani ya nchi
======================
Utekaji bila kukomeshwa utazaa ugaidi. Ni hatari kubwa kwa amani yetu. Mtu akikosea apelekwe polisi na mahakamani. Haki itawale. La sivyo tunacheza na moto utatuangamiza sote. Tujitafakari na Tujisahihishe.