prof. tibaijuka

Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (born February 24, 1956) is a Tanzanian lawyer who from April 2021 to January 2022 served as the country's Minister for Constitution and Legal Affairs, appointed by President Samia Suluhu. He was a Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation appointed by President John Pombe Magufuli since 2020 to 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka mpe sapoti Rais Samia kwaajili ya wasichana wa shule yako.

    Professor umefanya kazi nzuri sana kuonyesha mfano kuwa wanawake wanaweza kama wakipewa nafasi. Shule yako ya wasichana ni miongoni mwa shule bora hapa nchini. Najua hizo ni jitihada za kufanya women empowerment kwa vitendo. Mwanamke kuwa Rais wa nchi ndiyo empowerment kubwa kupita zote kwa...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Uswahiba wa Prof. Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini tena?

    Uswahiba wa Prof. Anna Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini? Usafi wao ulianza lini? Kipi kimewaunganisha na Lissu kuwa kitu kimoja tena? https://youtube.com/shorts/lFQ95FpGu9k?si=jRhZ9lmI9hgWrxTL
  3. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Mimi ni mtu wa CCM nasikia Vijana wananishughulikia

    Akizungumza Septemba 7, 2026 kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Profesa Anna Tibaijuka, amesisitiza kuwa ataendelea kusema ukweli "Mimi nimekuja hapa kusema ukweli, kwa sababu sasa tuelewe mpasuko unatoka wapi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Wazee wastaafu tuna haki kutoa mawazo tuwe ndani au nje ya CCM. Hamuwezi kutunyamazisha tunapotetea haki

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X, Professa Anna Tibaijuka ameandika: "Wazee wastaafu tuna haki kutoa mawazo yetu tuwe ndani au nje ya CCM. Umri tumepewa na Mungu asiyetenda kosa. Ni mamlaka kutafakari ushauri wetu na kuupokea au kuupuza au kuuboresha KIDEMOKRASIA. Badala ya kujibu hoja...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka amshukia Wasira: "Kumshauri Rais kuangalia upya kesi ya Lissu, sio kuiamuru Mahakama"

    Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa zamani na mbunge mstaafu, Prof. Anna Tibaijuka, amemjibu Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, akisisitiza kuwa wanaodai Mheshimiwa Rais hawezi kuingilia au kutafuta ufumbuzi wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kwa sababu...
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Namshangaa Prof. Tibaijuka anaposema Lissu ni kete muhimu katika maridhiano inamaana haoni athari alizoleta kwa Taifa? Au ni athari za kukosa cheo?

    Katika watu ambao hawafai hata kutajwa na ni sumu ya uzalendo wetu ni lissu huyu mtu siasa zake zimelirudisha nyuma Taifa letu kimaendeleo, Lissu ni mtu asiye na uchungu na Taifa letu, ni mtu aliyesababisha athari kubwa sana kwenye ustawa wa kijamii na kiuchumi kwa Taifa letu hafai! hafai...
  7. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Martha Karua, Maria Sarungi, Mange Kimambi, viongozi wa CHADEMA wote hawa ni wajasiriamali wa kisiasa wanaeleweka na wajinga tu

    Kuna watu wanatumia siasa za Afrika ili familia zao zile, ziishi na Kuna wengine wanatumia siasa ili kupata followers kwenye mitandao ya kijamii lakini kichwani ni sifuri hawana strategic zozote za kisiasa za wanataka wafanye nini zaidi zaidi ni kufanya vurugu ili wapigwe na Mimi nasema WAPIGWE...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Lissu kuendelea kusalia Gerezani haina afya, Nchi haiwezi kutulia bila maridhiano

    Mwanazuoni na Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka, amebainisha kuwa nchi haiwezi kupata utulivu wa kweli wa kisiasa ikiwa hakuna maridhiano ya dhati, huku akisisitiza kuwa kuendelea kusalia gerezani kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, hakuna afya kwa ustawi wa taifa. "Na nchi...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Huwezi kuwazuia Vijana kuandamana kama wamekasirika

    Mwanazuoni na Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka, amesema haiwezekani kuwazuia vijana kuandamana wanapokuwa na hasira zinazotokana na kero mbalimbali zinazowakabili katika jamii. Akizungumzia matukio ya Oktoba 29, Prof. Tibaijuka alisema yaliyotokea yalikuwa janga kubwa, huku akihoji...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Polisi wapewe elimu ya kutafsiri kauli za umma; ukosoaji unaweza kuwa elimu ya umma, si uchochezi

    Profesa Anna Tibaijuka amesema polisi wana haki ya kuhoji kauli au jambo lisiloeleweka wanapohisi linaweza kuwa na viashiria vya uchochezi au kusababisha vurugu. "Polisi akisikia jambo halieleweki, hata kauli haieleweki, ana haki ya kuuliza kwamba wewe hapo ulikuwa unamaanisha nini, kama yeye...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Anna Tibaijuka: Utekaji bila kukomeshwa utazaa ugaidi. Mtu akikosea apelekwe Polisi na Mahakamani

    Kiuhalisia Tanzania imeendelea kuwa ngumu sana! Vitisho na hofu kwa wananchi zimekuwa kubwa sana Unaogopa kusema kitu kwa hofu ya kutekwa Mungu atusaidie sana tuondoke huku. Mama Tibaijuka naye kasema ukweli mtupu maana matukio ya namna hii ni lazima tu yatazalisha ugaidi mkubwa sana na hata...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Uongozi wa Chama na wa Nchi ni tofauti, mission ya Mbowe haijakamilika

    PROF TIBAIJUKA: MISSION YA MBOWE HAIJAKAMILIKA! “Nimemsikiliza huyu Katibu. Sidhani kama anafahamu haja ya kutenganisha Chama Tawala na Chama cha Upinzani. Anaongea kama aliyekariri mambo. Anatumia mfano wa Zitto Kabwe (@zittokabwe) kuachia ngazi. Mbowe alielezea vizuri jana suala la Mission...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka Reminisces the 2008 Kenya Election Crisis: 'We Were Calling Him General Ruto"

    14 September 2024 Dar es Salaam, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=aWUM2rPAnoU Prof. Tibaijuka Reminisces the 2008 Kenya Election Crisis: 'We Were Calling Him General Ruto" Retired diplomat and veteran Tanzanian politician, Prof. Anna Tibaijuka, has warned that election observers often...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Utaratibu wa Mgombea Binafsi utaimarisha vyama vya siasa nchini

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Muleba Kusini na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema kuzuiwa kwa mgombea binafsi nchini kumeifanya Tanzania kuwa na demokrasia ya udikteta wa vyama. Ameyasema hayo leo Septemba 14, 2024 alipokuwa akitoa mada ya ushiriki wa wanawake...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Mimi nilikataa Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi kujengwa Jangwani, Sikuwa na Madaraka ya Kuzuia

    Prof. Anna Tibaijuka amesema wakati akiwa Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, hakutoa Kibali cha Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi katika eneo hilo lakini ulifanyika kwa maamuzi yasiyo sahihi Tibaijuka amesema "Jangwani haina kibali changu kuwa pale. Mimi nilikataa...
Back
Top Bottom