Prof. Tibaijuka: Lissu kuendelea kusalia Gerezani haina afya, Nchi haiwezi kutulia bila maridhiano

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwanazuoni na Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka, amebainisha kuwa nchi haiwezi kupata utulivu wa kweli wa kisiasa ikiwa hakuna maridhiano ya dhati, huku akisisitiza kuwa kuendelea kusalia gerezani kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, hakuna afya kwa ustawi wa taifa.

"Na nchi haiwezi kutulia kama hakuna maridhiano. Mtu kama Lissu anaendelea kuwa gerezani. Mimi nasema kabisa kwamba haina afya. Hiyo haiwezi kuwa kwa maslahi ya wao. Kwa sababu gani? Kwa sababu yule ni kiongozi. Akija hapa, ndio sasa watu wanaona kwamba hilo tumelimaliza. Sasa tunakuja kwenye yale yaliyojiri yaliyotusibu, mambo makubwa, mahafa makubwa, msiba mkubwa. Hakuna hata mmoja wetu mwenye uwezo wa kurudisha gurudumu."

View attachment 3612391
hakuna muhalifu Tanzania anaweza kuachiliwa huru kwa porojo za huyo mbibi hata siku moja.
Kama taifa tupo pazuri na tunaelekea kuzuri zaidi aache upotoshaji useless wa kindezi hivyo :1Head:
 
Kisiasa alishapaa baada ya kumshinda Ayatollah wa Chadema, sema kumuweka ndani ni kumtesa tu na kuchafua nchi
kumshinda Ayatollah haitoshi kisiasa..kuna mengi zaidi ya hayo..Ndo maana ingewezekana angetolewa huko wala hawezi kufikia level hyo sema CCM sikuhz wamekuwa waoga wa kujenga na kupangua hoja.
 
Back
Top Bottom