Umemsahau Mbowe "gaidi" alivyoachiwa?hakuna muhalifu Tanzania anaweza kuachiliwa huru kwa porojo za huyo mbibi hata siku moja.
Kama taifa tupo pazuri na tunaelekea kuzuri zaidi aache upotoshaji useless wa kindezi hivyo![]()
Au turudi kule rau juu?
Umemsahau Mbowe "gaidi" alivyoachiwa?hakuna muhalifu Tanzania anaweza kuachiliwa huru kwa porojo za huyo mbibi hata siku moja.
Kama taifa tupo pazuri na tunaelekea kuzuri zaidi aache upotoshaji useless wa kindezi hivyo![]()
Naona unantangazia taharuki..Ngoja kesho afe mama , baba, dada, kaka zako ndiyo utakuja na kuandika hapa ulichokiand8ka
wawapi huyo gentleman?Umemsahau Mbowe "gaidi" alivyoachiwa?
Au turudi kule rau juu?

You see, aibu tupu.wawapi huyo gentleman?![]()
mwana CCM mwenzio huyo.Fedha za Escrow hadi kustaafu unakula nazo bata tu
Hicho tu anachosema hapo wanamlia timing. Muda wowote wanaweza kum-jenista. Wakichelewa sana watam-kombaCcm bhana, Sasa anashindwa nn kuwaambia ccm wenzake anakuja kulialia kweny media?
Historia inaonyesha kuwa migogoro ya kisiasa inapodumu bila kupatiwa ufumbuzi wa mazungumzo na maridhiano, huendelea kuacha majeraha na mgawanyiko katika jamii. Bila kujali tofauti za kisiasa, viongozi na wadau wote wanapaswa kutafuta njia za kujenga mazingira ya kuaminiana, kuheshimiana na kushirikiana kwa manufaa ya taifa. Utulivu wa kudumu haujengwi kwa kushindana pekee, bali pia kwa uwezo wa kusuluhisha tofauti kwa hekima na mazungumzo.Mwanazuoni na Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka, amebainisha kuwa nchi haiwezi kupata utulivu wa kweli wa kisiasa ikiwa hakuna maridhiano ya dhati, huku akisisitiza kuwa kuendelea kusalia gerezani kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, hakuna afya kwa ustawi wa taifa.
"Na nchi haiwezi kutulia kama hakuna maridhiano. Mtu kama Lissu anaendelea kuwa gerezani. Mimi nasema kabisa kwamba haina afya. Hiyo haiwezi kuwa kwa maslahi ya wao. Kwa sababu gani? Kwa sababu yule ni kiongozi. Akija hapa, ndio sasa watu wanaona kwamba hilo tumelimaliza. Sasa tunakuja kwenye yale yaliyojiri yaliyotusibu, mambo makubwa, mahafa makubwa, msiba mkubwa. Hakuna hata mmoja wetu mwenye uwezo wa kurudisha gurudumu."
Historia inaonyesha kuwa migogoro ya kisiasa inapodumu bila kupatiwa ufumbuzi wa mazungumzo na maridhiano, huendelea kuacha majeraha na mgawanyiko katika jamii. Bila kujali tofauti za kisiasa, viongozi na wadau wote wanapaswa kutafuta njia za kujenga mazingira ya kuaminiana, kuheshimiana na kushirikiana kwa manufaa ya taifa. Utulivu wa kudumu haujengwi kwa kushindana pekee, bali pia kwa uwezo wa kusuluhisha tofauti kwa hekima na mazungumzo.
Ili maridhiano yafanikiwe, kwanza pande zote zinapaswa kueleza wazi malalamiko yao na kuwa tayari kusikiliza upande mwingine. Pili, ni lazima kuwe na mpatanishi anayeheshimika na kuaminiwa na wote. Maridhiano ya kweli hujengwa juu ya ukweli, haki na nia ya kuangalia mbele kwa maslahi ya taifa kinyume itakuwa sio maridhiano bali ussenge tu..tunataka Ccm, na Chadema, waridhiane. Hilo ni sawa.
..Je, Ccm wamewakosea, au wamedhulumiwa, nini na Chadema?
..Na Chadema nao wamekosewa nini na Ccm?
..Pia ili Ccm na Chadema wakae mezani panahitajika mtu, au taasisi, inayoaminika na pande zote. Je, tunaweza kupata taasisi au mtu wa aina hiyo?
Ili maridhiano yafanikiwe, kwanza pande zote zinapaswa kueleza wazi malalamiko yao na kuwa tayari kusikiliza upande mwingine. Pili, ni lazima kuwe na mpatanishi anayeheshimika na kuaminiwa na wote. Maridhiano ya kweli hujengwa juu ya ukweli, haki na nia ya kuangalia mbele kwa maslahi ya taifa kinyume itakuwa sio maridhiano bali ussenge tu
Ni kweli, CCM haiwezi kuwa na kilio cha wazi mbele ya jamii kwa sababu makosa yote yanayolalamikiwa yamefanywa ndani ya mfumo wao. "Kilio" chao cha ndani, ambacho hakisemwi hadharani, mara nyingi ni hofu ya kupoteza madaraka ikiwa wataruhusu uwanja sawa wa mapambano (level playing field). Ndio maana mchakato wa maridhiano unaweza kusuasua: upande mmoja unataka mabadiliko ya haraka na ya kweli, wakati upande mwingine unataka maridhiano ya maneno yasiyogusa miundo ya kisheria na kikatiba...mpaka sasa hivi malalamiko ya Chadema, na vyama vya upinzani, kwa ujumla wake yanajulikana.
..Malalamiko ya Ccm ndio mpaka sasa hivi hayajulikani. Na kumekuwa na muda wa kutosha wa wao kueleza kilio na machungu yao.
Kwa msingi huo, Ccm kusema wanataka maridhiano ni geresha tu, na mbinu ya kupoteza muda.
Ni kweli, CCM haiwezi kuwa na kilio cha wazi mbele ya jamii kwa sababu makosa yote yanayolalamikiwa yamefanywa ndani ya mfumo wao. "Kilio" chao cha ndani, ambacho hakisemwi hadharani, mara nyingi ni hofu ya kupoteza madaraka ikiwa wataruhusu uwanja sawa wa mapambano (level playing field). Ndio maana mchakato wa maridhiano unaweza kusuasua: upande mmoja unataka mabadiliko ya haraka na ya kweli, wakati upande mwingine unataka maridhiano ya maneno yasiyogusa miundo ya kisheria na kikatiba.
Ni wazi kuwa vyama vya upinzani na watetezi wa haki za binadamu ndio waliobeba majeraha makubwa ya kiuchaguzi, kiusalama, na kisheria (kama yale matukio ya miaka ya nyuma tuliyoyajadili). CCM na dola hawana majeraha hayo, hivyo hawajisikii kuwa na haraka ya kupunguza nguvu zao...maridhiano yanahitaji pande mbili zilizokoseana, pamoja na msuluhishi.
..sasa mazingira tuliyonayo Tz tuna upande mmoja tu uliokosewa.
..pia hatuna msuluhishi, au taasisi inayoaminika, na kukubalika.
..kwa kifupi tunakosa vitu viwili kati ya vitatu vinavyohitajika ili maridhiano yawepo.
..kwa maana hiyo basi tunahitaji kitu kingine tofauti na maridhiano.
..Tuache kupoteza muda twende moja kwa moja kwenye Katiba Mpya, na Tume Huru ya uchaguzi.
Lini utarudishiwa akili zako ???hakuna muhalifu Tanzania anaweza kuachiliwa huru kwa porojo za huyo mbibi hata siku moja.
Kama taifa tupo pazuri na tunaelekea kuzuri zaidi aache upotoshaji useless wa kindezi hivyo![]()
mbna hafikishwi mahakamani mkuu?hakuna muhalifu Tanzania anaweza kuachiliwa huru kwa porojo za huyo mbibi hata siku moja.
Kama taifa tupo pazuri na tunaelekea kuzuri zaidi aache upotoshaji useless wa kindezi hivyo![]()
CCM hawapendi watu wenye akili kubwa. Utasikia kesho wamemfutia uraia.Mwanazuoni na Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka, amebainisha kuwa nchi haiwezi kupata utulivu wa kweli wa kisiasa ikiwa hakuna maridhiano ya dhati, huku akisisitiza kuwa kuendelea kusalia gerezani kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, hakuna afya kwa ustawi wa taifa.
"Na nchi haiwezi kutulia kama hakuna maridhiano. Mtu kama Lissu anaendelea kuwa gerezani. Mimi nasema kabisa kwamba haina afya. Hiyo haiwezi kuwa kwa maslahi ya wao. Kwa sababu gani? Kwa sababu yule ni kiongozi. Akija hapa, ndio sasa watu wanaona kwamba hilo tumelimaliza. Sasa tunakuja kwenye yale yaliyojiri yaliyotusibu, mambo makubwa, mahafa makubwa, msiba mkubwa. Hakuna hata mmoja wetu mwenye uwezo wa kurudisha gurudumu."
Chizi na nusu wewe!hakuna muhalifu Tanzania anaweza kuachiliwa huru kwa porojo za huyo mbibi hata siku moja.
Kama taifa tupo pazuri na tunaelekea kuzuri zaidi aache upotoshaji useless wa kindezi hivyo![]()