Prof. Tibaijuka: Mimi ni mtu wa CCM nasikia Vijana wananishughulikia

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Akizungumza Septemba 7, 2026 kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Profesa Anna Tibaijuka, amesisitiza kuwa ataendelea kusema ukweli

"Mimi nimekuja hapa kusema ukweli, kwa sababu sasa tuelewe mpasuko unatoka wapi kwanza kuna crisis ndani ya vyama vya siasa. Sasa tunapoimaliza tunakuja kwenye ushindani, kusema kweli sisi watu wa CCM, mimi ni mtu wa CCM, vijana nasikia wananishughulikia, wakinishughulikia basi nitakuwa mwananchi wa kawaida" -Amesema Prof Tibaijuka

Soma pia Prof. Tibaijuka: Kuondoa mgombea binafsi kumeleta mgawanyiko, rushwa na unyanyasaji ndani ya vyama

sidhani kama CCM integemea kitu kutoka kwa wazee useless kama haka kabibi fisadi.

mbibi hana haja ya kutafuta kiki au public sympathy kwa kusingizia vijana wa CCM. Vijana wa CCM wana wajibu mkubwa sana katika taifa hili na sio kushughulika na vibibi useless kama haka 🐒
 
Hahahahaaaa! Umeona ee!!
Kibibi kinajipa umuhimu asiokuwa nao. Kanafiki kasicho na aibu.
 
Akizungumza Septemba 7, 2026 kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Profesa Anna Tibaijuka, amesisitiza kuwa ataendelea kusema ukweli

"Mimi nimekuja hapa kusema ukweli, kwa sababu sasa tuelewe mpasuko unatoka wapi kwanza kuna crisis ndani ya vyama vya siasa. Sasa tunapoimaliza tunakuja kwenye ushindani, kusema kweli sisi watu wa CCM, mimi ni mtu wa CCM, vijana nasikia wananishughulikia, wakinishughulikia basi nitakuwa mwananchi wa kawaida" -Amesema Prof Tibaijuka

Soma pia Prof. Tibaijuka: Kuondoa mgombea binafsi kumeleta mgawanyiko, rushwa na unyanyasaji ndani ya vyama

Wamshughulikie na Umri ule uyu Mama mbona anajipa
Umuhimu wkt yeye ni Mstaafu kwasasa🤠🤠

Nayeye anataka kudondoka kama yule Mchumb❤️ wake au 🤔🤔
 
Hii inaitwa aibu utaona wewe yaan loser mmoja wa mitandaoni anambeza professor ambaye amewah kua top boss kwenye moja ya shirika la umoja wa mataifa vijana wa aina yenu mnachongo mdogo sana katika taifa
Na hapo ndipo wajanja wanapowashika vibaya manyumbu. Bwege kweli wewe
 
Back
Top Bottom