Prof. Tibaijuka: Mimi ni mtu wa CCM nasikia Vijana wananishughulikia

Prof. Tibaijuka: Mimi ni mtu wa CCM nasikia Vijana wananishughulikia

sidhani kama CCM integemea kitu kutoka kwa wazee useless kama haka kabibi fisadi.

mbibi hana haja ya kutafuta kiki au public sympathy kwa kusingizia vijana wa CCM. Vijana wa CCM wana wajibu mkubwa sana katika taifa hili na sio kushughulika na vibibi useless kama haka 🐒
Aah wapi,nakataa!
 
sidhani kama CCM integemea kitu kutoka kwa wazee useless kama haka kabibi fisadi.

mbibi hana haja ya kutafuta kiki au public sympathy kwa kusingizia vijana wa CCM. Vijana wa CCM wana wajibu mkubwa sana katika taifa hili na sio kushughulika na vibibi useless kama haka
 
Hebu tulinganishe credentials za hicho Kibibi Prof Tibaijuka na za hippopotamus Samia, academically and internationally.
Jipe wewe kazi hiyo sababu hauna kazi. Halafu acha kumlinganisha the Presidaa, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, na vitu vya kijinga. Mama ameishikilia nchi mikononi mwake wakati hako kabibi kalikodhamiria kutanua zaidi Ili kutamanisha zaidi kamekushikilia wewe tu.
 
Nilishawahi kuona mbwa anazaa ile yule mtoto WA kwanza anatoka akamla. Sasa, ccm sasa hivi wameua upinzani wamegeukiana wao kwa wao.

Acha wamalizane, vita vya panzi ni furaha kwa kunguru.
Juzi kuna jambo strange nilisikia mama mmoja kauza ng'ombe wake wa kisasa sababu ananyonya maziwa yake mwenyewe,nilitamani sana kushuhudia hili kwa macho 😂
 
  • Kicheko
Reactions: rr4
Back
Top Bottom