Prof. Tibaijuka: Mimi ni mtu wa CCM nasikia Vijana wananishughulikia

Kile kimama kinapenda sana ela
Za Michongo

Kwasasa ndio ivyo hana mwenye kumtafuta
yupo yupo kuvutana na
Wajukuu kugombea Vipindi nyumbani

Wakimuudhi sana wajukuu
hasira zake anaitisha press
Kumwaga Sumu zakešŸ¤”
 
sidhani kama CCM integemea kitu kutoka kwa wazee useless kama haka kabibi fisadi.

mbibi hana haja ya kutafuta kiki au public sympathy kwa kusingizia vijana wa CCM. Vijana wa CCM wana wajibu mkubwa sana katika taifa hili na sio kushughulika na vibibi useless kama haka šŸ’
Screenshot_20260817-124841~2.png
 
sidhani kama CCM integemea kitu kutoka kwa wazee useless kama haka kabibi fisadi.

mbibi hana haja ya kutafuta kiki au public sympathy kwa kusingizia vijana wa CCM. Vijana wa CCM wana wajibu mkubwa sana katika taifa hili na sio kushughulika na vibibi useless kama haka šŸ’
Kibibi useless ni kama yule aliyemzaa mzazi wako.
Wameijaza dunia na watu useless.
 
sidhani kama CCM integemea kitu kutoka kwa wazee useless kama haka kabibi fisadi.

mbibi hana haja ya kutafuta kiki au public sympathy kwa kusingizia vijana wa CCM. Vijana wa CCM wana wajibu mkubwa sana katika taifa hili na sio kushughulika na vibibi useless kama haka šŸ’
Ccm inakufanya utukane wazee kisa siasa za mchongo umekosa maadili kabisa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Yaani CCM iwashiwe moto na huyu?!!!! Kamwe! Kama hizi ndo akili za nyumbu basi mna Karne nyingi mno za kusubiri
Kwahiyo kama huyo bibi hawezi kuwashia moto je ninani mwenye huo uwezo?
 
Ccm inakufanya utukane wazee kisa siasa za mchongo umekosa maadili kabisa.
binafsi hua naeleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu gentleman,

hizo porojo nyingine nadhani ni utambulisho wenu umuhimu na inafahamika vizuri sana jukwaani, wala huna haja ya kusingizia wasiohusika:1Head:
 
Kwahiyo kama huyo bibi hawezi kuwashia moto je ninani mwenye huo uwezo?
Mfumo wa ccm ni wa kitaalamu kama mifumo ya mossad; kule hakuna yeyote, hata kikwete, anayeweza kuiwashia moto ccm.....labda yeye ndo awashiwe moto na ccm. Tofauti na huko unyumbuni
 
tuliza ball kama hujui ufisadi wake wa zaidi ya hela ya mboga gentleman,
huyo ni fisadi halali kabisa katika nchi hii :1Head:
Toa mfano. Najua aliwaudhi sana CCM alipoanzisha Baraza la Wanawake wa Tanzania.

Amandla...
 
Back
Top Bottom