Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
sasa kama ni msomi mbona ni fisadi?Unafikiri huyo aliishia darasa la pili kama yule mama yako mjaneš
maana yake elimu haijamsaidia kitu, right?š
sasa kama ni msomi mbona ni fisadi?Unafikiri huyo aliishia darasa la pili kama yule mama yako mjaneš
kwamba wewe una maarifa na faida kuliko mzee huyusidhani kama CCM integemea kitu kutoka kwa wazee useless kama haka kabibi fisadi.
mbibi hana haja ya kutafuta kiki au public sympathy kwa kusingizia vijana wa CCM. Vijana wa CCM wana wajibu mkubwa sana katika taifa hili na sio kushughulika na vibibi useless kama haka š
Record ya ufisadi kaiweka hukohuko kwenye serikali yenu tukufu ya CCM. Au hujui alikuwa waziri huko CCM?Gentleman,
kwamba huyo mbibi haijulikani kwamba ana record ya ufisadi pekee katika kipindi chake chote cha utumishi wa umma wa waTanzania au?š
Fisadi huko CCM, ajabu iko wapi?sasa kama ni msomi mbona ni fisadi?
maana yake elimu haijamsaidia kitu, right?š
mtu mwenye maarifa hawezi kujilimbikizia mali za ufisadi gentleman.kwamba wewe una maarifa na faida kuliko mzee huyu
punguani wewe
CCM haina wabibi useless kama hao gentleman šFisadi huko CCM, ajabu iko wapi?
kwahiyo hivi sasa ni malaika chadema right?Record ya ufisadi kaiweka hukohuko kwenye serikali yenu tukufu ya CCM. Au hujui alikuwa waziri huko CCM?
MkuuSawa Prof mwaga motoo, ongeza moto hadi watoane moyo. šššš
Gentleman Futa Kauli Yako HarakaCCM haina wabibi useless kama hao gentleman š
nasisitiza tena gentleman ,Gentleman Futa Kauli Yako Haraka
Mkuu vipi? 2030 Tunaenda na Nchimbi?šsidhani kama CCM integemea kitu kutoka kwa wazee useless kama haka kabibi fisadi.
mbibi hana haja ya kutafuta kiki au public sympathy kwa kusingizia vijana wa CCM. Vijana wa CCM wana wajibu mkubwa sana katika taifa hili na sio kushughulika na vibibi useless kama haka š
politics is dynamic in nature globally, be flexible gentleman and don't be confused by political calamities šMkuu vipi? 2030 Tunaenda na Nchimbi?š
Tukiwadekea hawa wazee ambao kwa nyakati zao walipewa madaraka makubwa na wakashindwa kutekeleza wanayoyaongea leo, vijana mtaipoteza amani ya nchi hii na wazee watakuwa hawapo!Akizungumza Septemba 7, 2026 kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Profesa Anna Tibaijuka, amesisitiza kuwa ataendelea kusema ukweli
"Mimi nimekuja hapa kusema ukweli, kwa sababu sasa tuelewe mpasuko unatoka wapi kwanza kuna crisis ndani ya vyama vya siasa. Sasa tunapoimaliza tunakuja kwenye ushindani, kusema kweli sisi watu wa CCM, mimi ni mtu wa CCM, vijana nasikia wananishughulikia, wakinishughulikia basi nitakuwa mwananchi wa kawaida" -Amesema Prof Tibaijuka
Soma pia Prof. Tibaijuka: Kuondoa mgombea binafsi kumeleta mgawanyiko, rushwa na unyanyasaji ndani ya vyama
Hongera sana professor kwa kuamua kusema ukweli na kuvaa ujasiri ambao kuna idadi kubwa ya mibaba ndani ya CCM imefyata mikia kwa woga mpaka mikia inakaribia kugusa videvu!!!Akizungumza Septemba 7, 2026 kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Profesa Anna Tibaijuka, amesisitiza kuwa ataendelea kusema ukweli
"Mimi nimekuja hapa kusema ukweli, kwa sababu sasa tuelewe mpasuko unatoka wapi kwanza kuna crisis ndani ya vyama vya siasa. Sasa tunapoimaliza tunakuja kwenye ushindani, kusema kweli sisi watu wa CCM, mimi ni mtu wa CCM, vijana nasikia wananishughulikia, wakinishughulikia basi nitakuwa mwananchi wa kawaida" -Amesema Prof Tibaijuka
Soma pia Prof. Tibaijuka: Kuondoa mgombea binafsi kumeleta mgawanyiko, rushwa na unyanyasaji ndani ya vyama
Kuna fisadi kumshinda anayeuzq kila leo rasilimali za Tanganyika kwa waarabu?sidhani kama CCM integemea kitu kutoka kwa wazee useless kama haka kabibi fisadi.
ššššš¤£Mkuu vipi? 2030 Tunaenda na Nchimbi?š
Tibaijuka alipewa pesa na Rugemalira wa VIP Engineering baada ya kumuomba achangie shule yake. Rais wa nchi akasema wazi kuwa zile pesa hazikuwa za serikali. Rugemalira akaswekwa ndani na kufunguliwa mashtaka. Mwisho wa siku serikali imesema haina haja ya kuendelea na kesi dhidi yake.Gentleman,
kwamba huyo mbibi haijulikani kwamba ana record ya ufisadi pekee katika kipindi chake chote cha utumishi wa umma wa waTanzania au?š
Tibaijuka alitimuliwa wizara ya ardhi kwa kashfa ya ufisadi wa kuhongwa tsh bilioni kumi za escrow ambazo alidai kapewa hela ya mboga tuu!.Hahahahaaaa! Umeona ee!!
Kibibi kinajipa umuhimu asiokuwa nao. Kanafiki kasicho na aibu.
tuliza ball kama hujui ufisadi wake wa zaidi ya hela ya mboga gentleman,Tibaijuka alipewa pesa na Rugemalira wa VIP Engineering baada ya kumuomba achangie shule yake. Rais wa nchi akasema wazi kuwa zile pesa hazikuwa za serikali. Rugemalira akaswekwa ndani na kufunguliwa mashtaka. Mwisho wa siku serikali imesema haina haja ya kuendelea na kesi dhidi yake.
Huo ufisadi wa Tibaijuka uko wapi?
Amandla...
