M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Jipe wewe kazi hiyo sababu hauna kazi. Halafu acha kumlinganisha the Presidaa, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, na vitu vya kijinga. Mama ameishikilia nchi mikononi mwake wakati hako kabibi kalikodhamiria kutanua zaidi Ili kutamanisha zaidi kamekushikilia wewe tu.
Mother of modern self-humiliation.
NB:Acha kulinganisha mtu aliyeongoza taasisi ya UN na shangingi aliyeiabisha nchi kiataifa kabakiza nyie chawa mbahangaika kuyasafisha mavi, mavi yanabaki kuwa mavi tu hata ukitapulizia marashi. Chawa mna extra job but it won't change anything.