Prof. Tibaijuka: Huwezi kuwazuia Vijana kuandamana kama wamekasirika

Prof. Tibaijuka: Huwezi kuwazuia Vijana kuandamana kama wamekasirika

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwanazuoni na Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka, amesema haiwezekani kuwazuia vijana kuandamana wanapokuwa na hasira zinazotokana na kero mbalimbali zinazowakabili katika jamii.

Akizungumzia matukio ya Oktoba 29, Prof. Tibaijuka alisema yaliyotokea yalikuwa janga kubwa, huku akihoji sababu za kukamatwa kwa mwanasiasa Tundu Lissu, akisisitiza kuwa hatua kama hizo zinaweza kuongeza taharuki na hisia miongoni mwa wananchi, hususan vijana.

 
Back
Top Bottom