Uswahiba wa Prof. Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini tena?

Uswahiba wa Prof. Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini tena?

Uswahiba wa Prof. Anna Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini? Usafi wao ulianza lini? Kipi kimewaunganisha na Lissu kuwa kitu kimoja tena?

View: https://youtube.com/shorts/lFQ95FpGu9k?si=jRhZ9lmI9hgWrxTL

20250326_151537.jpg

Kuna na huu pia.
 
Uswahiba wa Prof. Anna Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini? Usafi wao ulianza lini? Kipi kimewaunganisha na Lissu kuwa kitu kimoja tena?

View: https://youtube.com/shorts/lFQ95FpGu9k?si=jRhZ9lmI9hgWrxTL

Inawezekana jibu lisitosheleze,mwaka 2010 nikiwa bado Chadema wamoto kabisa,kwenye vikao vyetu tulikuwa tunapewa taarifa kuwa mgombea wa Uraisi kupitia tiketi ya Chadema atakuwa Mama Tibaijuka,ila ghafla naona akashawishiwa kugombea ubunge kupitia CCM,mama Tibaijuka tokea akiwa bado Lecture alikuwa ni mwanaharakati na mwanageuzi mzuri sana
 
Ccm tumeshindwa kutofautisha ajenda za kitaifa na za kichama!

Kuna kipindi lazima tuungane kwa pamoja kuokoa taifa!!
Watajwa hapo juu wanatumika na wasioonekana kusukuma hoja za kitaifa ili kipata uhalali wa kuwaondoa wale wanaopinga hoja hizo!!
 
Wewe jamaa una akili ndogo sana
Ndo maana mnapiga kelele ml 20 za heche na kubariki ufisadi unaoibuliwa Kila siku na CAG
Nyie watu mtalaaniwa na vizazi vyenu haki nawapia
Lissu kasema Tibaijuka na Maaskofu ni majizi yaliyotumia bank ya kanisa ya Mkombozi kuingiziwa rushwa. Swali ni hawa watu wote kwenye wizi ule walisafishwa lini hadi sasa wawe na ukuruba na mwenyekiti mkuu? Jibu tu jamani

Siasa hiziii, we acha tu, hakuna adui wa kudumu bali kuna maslahi ya kudumu.

Tibaijika nae ananyooshea wengine vidole, kweliii!! Lissu nae amewakubali apande nao boti moja, kazi ipo wallah
 
Jibu ni rahisi tu mtoa mada; Imani, jinsi, uwezo na ukanda wa Samia baaasi. Ni hivyo tu ndo hawavipendi na ndo maana wameungana kwa sababu hizo.
Kuna kitu kinaitwa Uwezo, ukisikiliza hotuba ya Mwl. NYERERE wakati anaendaa kumtwanga Nduli alifika pahala akaanza kuzungumzia Uwezo, elewa neno Uwezo, kweenye maelezo yako ongezea kitu kingine kinaitwa Uwezo ukiondoa Sababu na Nia zingatia Uwezo
 
Back
Top Bottom