Sikiliza wewe kenge kati ya watu wanachangia tone tone hakuna anayelazimishwa wanatoa kwa mapenzi Yao na chama chao wenyewe. Kama unawapenda hao wanyonge mbona hukemei wanyonge wanaotyoa kwenye makanisa ya kiroho?
Mwamposa alitangaza sadaka ya jimalize pale kawe watu walitoa mpaka shilingi ya mwisho na kutembea kwa miguu mbona hatujasikia ukibinua makalio na kuwasemea?
Unataka kusema Yale matrilioni ya CAG siyo ya wanyonge ila tone tone ndo za wanyonge?
Si yule mwenye kichwa kama boga alisema tone tone ni kwa akili ya kununulia ebola? Sasa hizo anazovhukua heche ni zipi?